edward lowassa

  1. FisadiKuu

    Waziri Hussein Bashe, mwanafunzi mtiifu wa Hayati Edward Lowassa

    Wasalaam wanabodi.. Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya uongozi na siasa kupitia role models wao. Kwa sasa tunae Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye aina ya siasa na...
  2. Nehemia Kilave

    Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

    Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi? Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole? Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe. Lakini Inawezekana pia mfumo...
  3. Roving Journalist

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  4. Mjanja M1

    Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  5. Frank Wanjiru

    Anaandika Baba Askofu Bagonza kuhusu Edward Lowassa

    Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu hujitokeza; 1. Wanaolia 2. Wanaofurahia 3. Wasiojua kama walie au wafurahie. Makundi yote matatu tunayo...
  6. M

    Tuliohusika kumuumiza Edward Lowassa kisiasa leo ndiyo siku nzuri ya kutubu

    Poleni Watanzania wote kwa MSIBA MZITO wa Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa Mungu ampe Pumziko la Milele EDO kwa Maumivu yote aliyopewa na watu wake wa Karibu ktk uhai wake. Ni Muda sahihi kwa wale wote Waliohusika kwa namna moja KUMUUMIZA mtu huyu kwa ajili ya Maisha na Vyeo...
  7. P

    Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
  8. BARD AI

    Mapigo 10 ya CCM kwa Edward Lowassa

    Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA. Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA. Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno...
  9. Roving Journalist

    Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki. Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona...
  10. F

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mbowe, hawa ndio walezi wakuu wa kisiasa wa Edward Lowassa

    Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere akiwa kijana mdogo miaka ya 60's. Mwaka 1988 Lowassa alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
  11. Girland

    Ujumbe wa Bashe kwa Kikwete uliozua gumzo ni kuhusu Edward Lowassa

    Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo. Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa CCM mwaka 2015. Mzee Lowassa alitimkia upinzani CHADEMA, ambako alipata nafasi ya kugombea Urais...
  12. Nehemia Kilave

    Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani . Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya EL na kumfanya awe msafi? Je, aliletwa kwa maslahi ya Wananchi au...
  13. Stephano Mgendanyi

    Fredrick Edward Lowassa aziwezesha Vifaa vya TEHAMA shule za msingi nne

    MBUNGE MHE. FREDRICK LOWASSA AZIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA SHULE ZA MSINGI NNE Mbunge wa Jimbo la Monduli Mkoa wa Arusha, Mhe. Fredrick Edward Lowassa akishirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Mhe. Joshua Nassari wamegawa vifaa vya TEHAMA kwa Shule za Msingi Nne, Shule ya Msingi Losimongori...
  14. figganigga

    Hayati Magufuli alilewa madaraka, akaagiza Polisi Tanzania wamkamate Edward Lowassa awekwe Korokoroni

    Kama tunavyojua, Hayati Magufuli, pamoja na kuwa rais wa Tanzania, hajawahi kuwa Balozi hata wa Nyumba kumi. Ndani ya Miaka Miwili akalewa madaraka. Kumbuka Lowassa ni Mwanajeshi wa zamani na aliyewahi kupigana wakati wa vita kati ya Uganda na Tanzania mwaka 1978/79. Kaitumikia Nchi hadi uzee...
  15. Replica

    Tundu Lissu: Siku zote kupoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa ni hasara. Agoma kujibu kama Mbowe anatosha nafasi ya uenyekiti

    Tundu Lissu amehojiwa na Dar 24 na miongoni mwa maswali ni faida ya ujio wa Edward Lowassa iliyosababisha kumpoteza katibu mkuu. Lissu amekiri ilikuwa hasara kubwa kumpoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa na kudai Dkt. Slaa alikuwa katibu wao mzuri sana lakini amekataa Lowassa kuwa sababu ya Slaa...
  16. K

    Nani kuvunja rekodi ya Lowassa ndani ya CHADEMA?

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Edward Lowassa aliipa heshima kubwa sana CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 baada ya kuwapa kura nyingi za urais na wabunge wengi sana zaidi ya 100 wa kuchaguliwa majimboni. Lowassa alikuwa mgombea urais wa CHADEMA lakini pia alikuwa kwenye list of...
  17. Orketeemi

    Yupo wapi Edward Lowassa?

    Waku heri ya mwaka mpya. Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa. Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli. Mwenye taarifa kuhusu hali ya jabali hili aniambie, yupo wapi na hali yake kiafya kiujumla ikoje? Ni Kwa Nia njema Tu, maana...
  18. J

    Sijui kwanini CCM ilimfukuza Lowassa kabla Magufuli na Rostam Aziz hawajamrejesha kundini

    Kama ni kweli kabisa alikuwa Fisadi mbona Waliomtuhumu hao Chadema walimbembeleza awe mgombea Urais kws ticket ya Chama chao? Sijawahi kupata majibu ila namshukuru RA kwa kumueleza ukweli Shujaa kwamba Lowassa hana tatizo lolote na baadae Shujaa akaagiza Lowassa arejeshwe CCM na wabunge wake...
  19. system hacker

    Kenya 2022 Uchaguzi Kenya unatukumbusha mtanange wa Hayati John Magufuli vs Edward Lowassa

    Odinga atapata kura sio zaidi ya milioni 8. William Ruto kura si zaidi ya milioni 6 Ndivyo itakavyotokea. Hata kwa akina Magufuli vs Lowassa ilitokea hivi. Lets wait and see!
Back
Top Bottom