benki ya kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Benki ya AfDB yaidhinisha Mkopo wa Tsh. Bilioni 165.6 kwaajili ya kusaidia Benki ya Kilimo Tanzania (TADB)

    Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
  2. Mganguzi

    DOKEZO Rais hili la mbolea umenikuna sana. Nakuomba ifanyieni uchunguzi Benki ya Kilimo, kuna jambo halipo sawa

    Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima wa mahindi mashamba yapo mkoani Rukwa. Mwaka Jana nimeshindwa kumudu kabisa bei ya mbolea hekari...
  3. BigTall

    Mbunge Dkt. Mhagama aiomba Serikali kuiongeza mtaji Benki ya Kilimo ili isaidie kilimo Nchini

    Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt Joseph Kizito Mhagama ameishauri Serikali kuisaidia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) maarufu kwa jina la Benki ya Kilimo katika mtaji zaidi ili kukuza kilimo Nchini Tanzania. Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma amemuomba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  4. Mtondoli

    Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  5. N

    Benki ya kilimo(TAB) na Waziri wa Kilimo vina faida gani?

    Ni kwanini ni ngumu sana kupata mkopo kutoka Benki ya Kilimo? Kwanini ili kukopa yabidi muanzishe kikundi ndiyo mpewe mkopo wakati kila mtu ana mopango yake malengo yake? Waziri anafaida gani iwapo anaona kabisaaa matawi ya benki ya kilimo yako miji mikubwa yenye lami na vijijini hakuna hata...
Back
Top Bottom