Search results

  1. kisugujira

    NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    Hicho ndicho kinachotakiwa kufanyika haraka. Kuchelewesha malipo kunawafanya wanaodai mafao yao kuanza kutoka nje na kwenda kukopa na kujiongezea matatizo kibao! Sasa hivi na janga hili la korona sijui itakuwaje!
  2. kisugujira

    NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
  3. kisugujira

    #COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Inasemekana hata Acetaminophen inaweza kutumika kufubaza makali ya Corona virus mpaka hapo mgonjwa atakapopata nafuu na kupona kutokana na kinga zake za mwili kwani ugonjwa huu mpaka sasa haujapata tiba wala chanjo!
  4. kisugujira

    Uhujumu NSSF

    Mkurugenzi William Erio ni mtu mchapakazi asiyetaka watu wazembe kama wewe mtoa post.Ni mwendawazimu tu asiyejua ni jinsi gani PPF ilivyokuwa akichapa kazi ukilinganisha na NSSF. Wafanyakazi wengi tu wa NSSF mlishazoea rushwa na wizi sasa kaletwa kiongozi mchapa kazi mmeanza majungu! Hapo makao...
  5. kisugujira

    Sales Officers & Warehouse supervisor wanahitajika

    What are they dealing with?
  6. kisugujira

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Bashiru alisema kulikuwa na hitilafu kidogo wakati wa kutoa upako kwa vijana! Ndiyo maana tunaona moshi unafuka nyumbani.
  7. kisugujira

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    WanaJF, "Maalim Seif, Maalim Seif, Maalim Seif," ndiyo maneno waliyokuwa wakiyatamka na kuyaimba wanaUkawa katika ufunguzi wa Bunge la 11, 2015 Bungeni Dodoma leo! Kitendo hicho kimefanyika mara baada ya viongozi walioko madarakani kuanza kuingia katika ukumbi wa Bunge na hasa pale alipoingia...
  8. kisugujira

    Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Zingatia ushauri wa mkuu MziziMkavu na jamadari bila kusahau juisi ya tikitimaji.
  9. kisugujira

    Soko jipya la Mwanjelwa ni bovu

    Nini chanzo cha mgogoro na kwa nini mkandarasi afukuzwe? Jengo limejengwa chini ya kiwango wenye macho wameona na kusema. Mkandarasi kaambiwa akimbie ili afunike kombe mwarabu apite wewe unasema kafukuzwa! Siku jengo litakapoporomoka ndipo utakapokumbuka verbal/written evidence tunazozitoa sasa...
  10. kisugujira

    Soko jipya la Mwanjelwa ni bovu

    Kwani ujenzi wa soko ulikuwa unasimamiwa na CHADEMA?
  11. kisugujira

    Soko jipya la Mwanjelwa ni bovu

    Wale wale akina Tomaso! Huamini mpaka uone kwa macho?
  12. kisugujira

    Soko jipya la Mwanjelwa ni bovu

    Huyo jamaa anayejenga ghorofa la chuma hapo pembeni ya soko lenye nyufa ni kiboko! Ametoa mfano hai kwa serikali ya mkoa wa mbeya kuwa wangejenga kitu kama hicho anachokiporomosha!
  13. kisugujira

    Soko jipya la Mwanjelwa ni bovu

    WanaJF, Usimamizi mbovu wa ujenzi wa barabara na majengo mengi hapa nchini unaligharimu Taifa hili huku watu wachache ambao ni wezi wakinufaika! Soko la Mwanjelwa mpaka sasa halijafunguliwa kutokana na kujengwa kwa kiwango cha chini kulikosababisha kuta kupasuka na kutoa nyufa hata kabla...
  14. kisugujira

    Shamsa Ford picha na Machemli ni kazi ya photoshop

    Blaaah blaaah nyingi! Picha zenyewe ziko wapi?
  15. kisugujira

    Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Toeni elimu itakayowawezesha Watanzania kujitambua kuwa watawala walioko madarakani ni wezi na siyo kufundisha uchawi!
  16. kisugujira

    Mnaowaanika viongozi wakiwa katika faragha mna maana gani?

    Think big and don't just fly in a bottomless pit! Does what you've said in red apply in adultery and fornication?
  17. kisugujira

    ...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

    Taabu kweli kweli!
  18. kisugujira

    ...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

    Mwili jumba Kapiteini Komba sasa hivi mapigo yake ya kijeshi kayaelekeza kwa totoz! Kwata la TPDF kesha lisahau hata msituni alikotishia kwenda sidhani kama ataweza!
  19. kisugujira

    Mbowe, viongozi CHADEMA wahudhuria harusi ya Nassari, wakwepa msiba wa mama Zitto

    Imeandikwa,"Waache wafu,wazikwe na wafu wenzao." Zito Kabwe hana tofauti na mtu mfu ndani ya CHADEMA!
Back
Top Bottom