Naam!!
Kitambo sijaandika Uzi humu. Mara nyingi ni mchangiaji ila Leo nimepata sababu ya kuandika kitu hapa labda kitawasaidia watu au kuwakumbusha tu.
Kama wewe ni mtumishi wa umma au una ndugu kapata ajira hivi karibuni. Naomba nikuusie.
USIJE JARIBU KUOMBA MKOPO Kwa hizi hizi kampuni...
Naam Niko mbeya Pazuri hapa
From Tanga mjini to mbeya.
Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.
Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar
Mbeya Pazuri Iko SAE na Nasoma Open Bar Iko MAMA JOHN.
nani Yuko hapa anakula lager
Naam watu wa nyanda za juu kusini watanielewa zaidi
Nadiriki kusema hakuna samaki mtamu kuliko duniani. Yes ndio numekula sangara, sato, kambale, kibua, changu, chuchunge na wemgineo lakini katika samaki mapenzi ya dhati yalibaki kwa mbasa wa ziwa Nyasa.
Roho yangu ilisuuzika barabara...
Naaam,
Kwa taarifa nilizonazo sio wote waliostahili daraja jipya la mshahara wamepata.
Kuna kundi kubwa la watu wametoka bila bila
Serikali itoe ufanunuzi kwanini hao wengine wamewekwa reserve.
Je, watapanda lini?
Na je, hamuoni mnatengeneza tatizo jipya la malimbikizo huku mkitatua la...
Naaam berto ,
Brother naamini uko poa kabisa na ushaanza majukumu yako kwa nafasi uliyopewa kwa Ari na nguvu mpya .
Hongera Sana muheshimiwa .
Ni hivi sisi wakazi Moro tunaomba tukudokeze agenda moja muhimu Sana kuhusu huu mji .
Mhe. Tatizo la maji Safi na salama katika mji wa Moro Ni sugu...
Naam, tukutane hapa wale wapenzi wote wa Dubs #Dubnation na wazee wote wa kikapu Mambo ya #Hoops[emoji459] Tuijadili timu yetu hii yenye wachezaje wenye vipaji lukuki.
Misimu miwili na nusu iliyopita ilikuwa migumu sana kwetu. Ile winning spirit ilipotea Sana hasa baada ya kukumbwa na majeruhi...
Nimecheki mpira vijana walikuwa kwenye form mwanzo Ila kadri dakika zinavyoyoma pumzi zinawakata na wanaanza kupoteana .
Kulikuwa Kuna wachezaje Kama watano mule ndani wamechoka .Na kocha kafanya sub moja tu ,it means alikuwa na na sub Kama nne hivi .
Baada ya like goli letu la pili Jamaa...
Ndayiragije huyu kijana wako Lyanga ataicost timu mechi zijazo.
Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo, kwanza chenga zenyewe hawezi.
Tunahitaji wachezaji wako serious kutafuta goli sio kupiga chenga za kijinga
Tumeshinda...
Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .
Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya
Nilifuta kadi nikatengeneza ingine lakini Tatizo liko vile vile
Je, wamesitisha huduma hii?
Je, Kuna tatizo...
Matajiri wataendelea kuwa matajiri na masikini wataendelea kuwa masikini.
Msemo wa siku nyingi sana.
Wakati hapa Tanzania watu wanalalama vyuma vimekaza .They can't breathe [emoji3]Hali iko tofauti huko "duniani"
Matajiri wakubwa 500 dunia ukwasi wao umeendelea kupaa kwa spidi za ajabu sana...
Duuh nilitaka nisahau [emoji3]
Napitia profile yangu naona tarehe ya leo inafanana na siku niliyojiunga JF
Nilikuwa Niko mtaani enzi hizo ramani haisomeki [emoji3]
Nimepata mengi sana hapa
Nimezoea huu mtandao kiasi kwamba siwezi kuwa online bila kupita hapa
Cha ajabu katika hio Miaka 8...
Kati ya hizo Laptop mbili niichukue ipi wakuu.
Zote mbili zinaweza tumika Kama TABLET
Naamanisha ipi Ina uiamara zaidi kuliko zingine
Itatumika kwa kazi za kawaida tu
Cc.@cheifMkwawa
Naam
Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa .
Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu
Viatu vya mguu wangu gharama sana
Dukani ukitaka vile vya ngozi sio chini ya 100k
Na vya mtumba vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.