Dickson Ernest Maimu na wenzake wote wamefutiwa rasmi mashitaka yao yote leo na DPP katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Oktoba mwaka jana, alifutiwa kesi moja ya Utakatishaji Fedha zikabaki kesi tatu: Uhujumu uchumi, kuisababishia Serikali hasara na Matumizi mabaya ya Madaraka...
Wakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
Twende sawa kwanza:
1. Barabara hiyo inajengwa na TARURA na sio TANROADS.
2. Ujenzi wa barabara hiyo unaendelea na tena kwa kasi kubwa sana tu.
3. Mwanzo unapoanza ujenzi hadi mwisho unapoishia hakuna mwananchi yeyote aliyevunjiwa nyumba au ukuta zaidi ya kukata miti na michongoma. Kama yupo...
Wakuu,
Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
========
UPDATE:
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo.
Taarifa kutoka kwa...
Wakuu,
Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni...
Nilikuwa Arusha siku chache zilizopita. Hali ya Uchumi kwa upande wa Utalii kwakweli inasikitisha. Lakini inajenga fursa kuona mbadala wa mazoea ya awali na kutengeneza akili mbadala za kukabiliana na majanga kama haya siku za usoni
Msimu mpya wa onyesho kubwa na la ukweli barani Afrika, Big Brother Naija, unaanza kuonyeshwa leo Jumamosi na Jumapili na waandaaji wakiahidi onyesho kuwa kubwa na bora zaidi kuliko hapo awali.
Kutoka kwa onyesho la uzinduzi mara mbili hadi nyumba iliyofanyiwa marekebisho.
Mwongozaji wa...
Salaam mama, hongera kwa kuanza kazi vizuri na pole kwa yote utakayokuwa unakumbana nayo katika siku hizi za mwanzo.
Mhe. Rais, naomba nikujuze yafuatayo:
Kuna genge flani la waliokuwa wanufaika wa mfumo haramu limekupania na litatumia Media na Mitandao ya kijamii kukuandama ili upate aidha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.