Search results

  1. shuka chini

    Nywila yangu ya simu yaleta ugomvi

    Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya simu yangu tena analazimisha. Sasa nataka aguse simu nimpasue, leo napasua mtu.
  2. shuka chini

    Ndoa hizi zitatuua Jamani!

    Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi . Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi...
  3. shuka chini

    Utabiri wangu mechi za Simba na Yanga wiki hii

    Kiukweli watanzania tumekuwa na hamu sana ya kuona timu zetu zinafanya vizuri sana kimataifa. Lakini inatakiwa juhudi kubwa sana ya nje ya uwanja na ndani ya uwanja.Tena tunatakiwa tuwe na uwezo wa kushinda kuanzia goli mbili kwa sifuri. Sasa utabili wangu mimi shuka chini ni huu Simba hapa...
  4. shuka chini

    Vijana tusing'ang'anie Dar

    Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii, Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna...
Back
Top Bottom