nywila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. shuka chini

    Nywila yangu ya simu yaleta ugomvi

    Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya simu yangu tena analazimisha. Sasa nataka aguse simu nimpasue, leo napasua mtu.
  2. Shining Light

    Changamoto za Nywila Ndefu na Mbinu za Kuzingatia

    Katika pita pita zangu nimekutana na kitu kinacho ongelea ulimwengu wa usalama wa simu za mkononi, kundi la watafiti lilianza kuelewa jinsi watu wanavyochagua nywila zao. Walitaka kuona ikiwa nywila ndefu zilikuwa bora kila wakati. Kwa mshangao wao, waligundua kuwa nywila ndefu haikuwa daima...
  3. Suley2019

    Password (Nywila) zinazoongoza kudukuliwa zaidi

    Kuvuja kwa data na mashambulizi ya mtandao yanazidi kuwa jambo la kawaida ulimwenguni. Ili kulinda kitambulisho chako mtandaoni na taarifa zako kibinafsi, ni muhimu kutengeneza nywila yako bora. Uchunguzi wa Cybernews na National Cyber Security Centre umebainisha baadhi ya nywila ambazo sio...
  4. Invisible JK

    USITOE NYWILA zako

    Tunajua wengi huwa tunapata itilafu katika simu ikiwepo kuvunjika kwa screen kwenye android na iphone. Nakimbilio letu ni mafundi Ili warekebishe lakini tunampa faragha fundi ya kupitia Kila kitu. Ni kheri kabla ya kutengeneza usimpe NYWILA au password zako na utafanya jaribio wewe mwenyewe ya...
  5. R

    Kwanini unampa mtu wako wa karibu 'password' zako?

    Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote. Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
  6. R

    Nywila (password) zako ni imara au ukidukuliwa sehemu moja umekwisha?

    Utahitaji kuwa na password ili kufanya karibu kila kitu kwenye mtandao, kuanzia kuangalia barua pepe hadi benki ya mtandaoni. Na ingawa ni rahisi zaidi kutumia password fupi, ambayo ni rahisi kukumbuka, hii inaweza pia kuleta hatari kubwa kwa usalama wako wa mtandaoni. Ili kujilinda na taarif...
  7. Suley2019

    Usitumie nywila (Password) moja kwenye mitandao yako tofauti ya kijamii

    Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama. Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
  8. Suley2019

    Fanya haya kulinda Nywila (Password) zako

    NAMNA YA KULINDA NYWILA (PASSWORD) YAKO 1) Usitumie Nywila (Password) moja kwenye kurasa zako zote za Mitandao ya Kijamii. Hakikisha kila mtandao unatumia #Password yake 2) Hakikisha Nywila yako ina jumla ya herufi/alama zisizopungua 16 au na zaidi (Mfano: M1m1$%678abc@£+#) 3) Usitumie maneno...
  9. Daby

    Mme/mke anapoweka na kuficha nywila kwenye simu janja yake, unalitafsiri vipi?

    Simu sio kifaa kizuri saana kwa wapenzi waishio pamoja. Kinaweza kusababisha matatizo mengi saana. Na matatizo haya yanaweza kusababishwa na kakitu kadogo. Wapo wanaosema simu za waume/wake zao haziwahusu lakini swali dogo tu...mkeo akipigiwa simu kisha ukaskia kabisa anaongea na mwanaume kesho...
Back
Top Bottom