Search results

  1. Suhendra

    Hakuna raha anayoipata mwanaadamu kama akiwa ndani ya Swaum

    Habari zenu wapenzi Tumo ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani waislam wote duniani napenda kuwatakia Ramadhani Kareem. mfungo wa ramadhani Ni moja wapo ya nguzo ya Dini. Unapofika mwezi huu hakuna muislam anaekera bali kila mmoja anafurahi kutimiza nguzo hii Wewe nani unae umia na kukereka...
  2. Suhendra

    Jinsi ya kupika tambi za mayai

    Habari zenu wapenzi Karibuni tena tujifunze jinsi ya kupika tambi za mayai.✍🏻 Ni rahisi sana wala hutumii muda mrefu, niiingi moja kwa moja kwenye mada Owky. Mahitaji. Tambi chumvi maji mafuta kitunguu Thom kinguu maji Nyanya Binzari pilipili (sio lazima) Kwanza kabisa Wachemsha tambi...
  3. Suhendra

    How are you prepared to receive the noble partner ramandani🌺

    السلم اليكم All جميعا 🌺 الحدالله to be المسم في كليحل 🙏يربي ه‍دنا الصرط المستقبم 🌹 And they will all wish for a good fast month RAMADHANI KARIM.🌹
  4. Suhendra

    Jinsi ya kupika biriani ya kawaida

    Habari, natumaini nyote mko poa Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote. Moja kwa moja niingie jikoni MAANDALIZI. kitunguu thoumu Tangawizi pilipili manga ya unga binzari nyembamba Mdalasini chumvi Nyama mbichi Maziwa Tomato past Karoti Nyanya ya kawaida wazichanganya kwenye...
  5. Suhendra

    Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

    Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema. Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa...
  6. Suhendra

    Katika maeneo ya Ilala kuna nyumba imeungua kwa shoti ya umeme

    Salamu Mvua imekuwa kubwa sana katika mji wetu pendwa wa Dar es salaam kuanzia SAA 9 usiku hadi muda huu ambayo imeambatana na radi na upepo mkali, Katika maeneo ya Ilala kuna nymba imeungua na shoti ya umeme, Ambao ulirudi kwa kasi sana na kusababisha wakazi wa nyumba hiyo kutoka bila nguo...
  7. Suhendra

    Muujiza wa hesabu ndani ya Qur-an

    Amani iwe juu yenu. Surat NAHAL. katika mpangilio wa Qur'an hii ni sura ya (16) Sura hii ina jumla ya Aya 128. Je, kuna uhusiano gani kati ya jina la sura na namba ya sura (16), Na namba za Aya 128, Naam upo mkubwa sana Kisayansi NAHAL (Nyuki dume) Ana chromosomes 16, Ambazo ndio namba ya...
  8. Suhendra

    Msongamano isiwe sababu ya unyanyasaji wa kijinsia

    Salamu kwenu wakuu. Katika kipindi hichi cha ongezeko la nauli tunazidi kuona mengi hasa sie tunao tumia usafiri wa public tuna kumbana na kero nyingi mno Asilimia kumbwa wanaofanya kazi mjini tuna tegemea tren kama usafiri wetu hii haipingiki Kupanda treni sio shida, shida yanayo jiri humo...
  9. Suhendra

    Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi. Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu. Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk. Ni ingie kwenye point. Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake. Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua...
  10. Suhendra

    Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Habari wana Jamii, Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu. Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu. Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza...
  11. Suhendra

    Ni changamoto gani kunguru alikusababishia?

    Na tumaini nyote wazima wa AFYA Kwasisi tunaoishi uswailini nadhani twamfaham vyema ndege huyu Kero zake mbalimbali. Kuiba mboga, kuamsha watu asubuhi nk. Nikero ipi uliwahi kupitia ambayo KUNGURU alikuwa sababu Binafsi nilishawahi kudonyolewa sito sahaau.
  12. Suhendra

    Mimi ni mgeni jamvini, naombeni mnipokee

    Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano. Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao wajirekebishe Kama huna cha kucomment pita hiviiii Ahsanten.
Back
Top Bottom