Search results

  1. E

    Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

    CHURADUME bado unaishi mazingira ya kuingiliwa na panya Hadi chumbani? Bado unapiga mwanamke? Wewe utakua mlevi wa pombe za ovyo za vilabuni. Jitoe jamii forums.
  2. E

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    NHIF Imekufa Ummy akiwa waziri. Bima ya watoto wadogo imeyeyuka Ummy akiwa waziri. Jukwaani anasema Samia amepunguza vifo vya kinamama wakati wa kujifungua kumbe hata kile kijikaratasi Cha taarifa za mama na mtoto Ni sh 10,000. Huyu Ummy ambaye sio daktari si ampishe @dkt.gwajima D kwenye...
  3. E

    News Alert: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Watu wanafurahia kifo Cha Raisi Kama walivyofurahi alivyo hukumiwa Sabaya kwenda jela. Hakuna anayempenda muuaji.
  4. E

    News Alert: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Ajali Ina K inga. Mfano utembee na Malaya wa Kimboka bila London halafu ubebe UTI Kali, utaita hiyo Ni ajali au ukwae miwaya kabisa.
  5. E

    News Alert: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Ajali Zina Kinga . Acheni ujinga. Mfano basi la NEW Force likidondoka kwenye korongo mtasema ajali haina Kinga? Wakati DEREVA mnamjua kabisa hajui udereva, hajapitia chuoni, leseni kaletewa na amelewa. Ajali Zina Kinga. Enzi za BP, ulishawahi kusikia lorry la bplimepata ajali?
  6. E

    News Alert: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Wanataka Kama hakufa amalizwe na baridi. Nahisi hachomoki. Mwenzake Tshekedi leo kaponea majogoo.
  7. E

    Dr. Dorothy Gwajima. Amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Sikutegemea Katika hili Baraza Dkt. Gwajima D tulimtegemea kwa asilimia Mia.
  8. E

    Watumishi wa idara ya ardhi Tanzania "wamelaaniwa"?

    Nadhani Sasa Kama tulivyowapa waarabu bandari, tuwape jeshi la polisi, wizara ya ardhi, Tanesco, mwendokasi, Tanapa, haya majiji yote sita, Tanroads, chuo Cha Udom na TRC. HATA WAFAGIZI OFISI WATOKE DUBAI. VIJANA WETU WAKO BIZE WANA BET.
  9. E

    Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

    Kuna Ile nyengine alisema katika Ni kajikitabu tu, wakati katiba ndio ilimuweka madarakani.
  10. E

    Watumishi wa idara ya ardhi Tanzania "wamelaaniwa"?

    Wapi kumeoza zaidi TRA TANESCO ARDHI DAWASCO AFYA (MANESI) POLISI
  11. E

    News Alert: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Huyo DEREVA wa hiyo helicopter alisomea wapi kiasi kwamba anaona Hali ya hewa Ni mbaya lkn akajiingiza huku ana ABIRIA muheshimiwa Sana?
  12. E

    News Alert: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Haya maneno yametoka kichwani kwako au kwenye hadisi za mtume?
  13. E

    Miriam Mauki: Mume wangu anajua kila 'Kitu' isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui

    Tafuta kazi ya kufanya. Huo muda wa kufuatilia vipindi vya wanawake unaupata wapi. Siku nyingine utumie huo muda kufanya kazi.
  14. E

    Unapo fanya kazi na bosi wako. Na akakuona just like nothing. Empty and u lack deed.

    Epuka kutembea na kila mwanamme hapo ofisini. Wanamme wa Sasa sio watu. Ukihawa 0713 ujue kila mtu kesho ofisini anajua. Kama una k mbovu ujue tu wataambiana.
  15. E

    Mikoani maisha yamejaa kufuatiliana, ulozi, ufitini na umbea

    Mbeya nambari one ikifuatiwa na Shinyanga.
  16. E

    TANZIA Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala ajinyonga kisa madeni, mgogoro

    Kaka, umezaliwawapi? Simu za TTCL za mezani zinaunganishwa na waya mgumu Sana hata kuvutia gari unaweza. Yaani Ni Kama waya wa pasi au birika la umeme.
  17. E

    Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Muda huu Lucas Mwashambwa Yuko kilabuni anajiburudisha na kimpumu Ile ya kutagila. Kesho akishamaliza kulamba ugoro atakujibu.
Back
Top Bottom