CHURADUME
Senior Member
- Jul 18, 2016
- 141
- 118
Ndugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku za nyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie nitamtoa akagoma ndio ugomvi ulipoanzia.
Kipindi hicho paka yuko chini ya kitanda akiendelea na mawindo akachukua nondo na kuanza kumfukuza nikamwambia acha nilishakwambia nitamtoa akawa hanielewi nikamfuata nikamshika mkono nikamtoa tukaanza kuvutana acha siachi acha siachi mpaka hasira zikaanza nipanda ikabidi ni msine vinyungutu vitatu kimoja mkononi viwili ubavuni ndipo hapo nilipo sikia kofi la sikio ambalo sijawahi pigwa tokea ni zaliwe.
Duh baada ya kutulia wenge sikioni kama sekunde 15 nikamshushia makofi matatu ambapo nilitumia nguvu nyingi ambazo zilisababishwa na hasira moja shavuni mawili mgongoni, sasa hapa naona viganja vitatu mgongoni mwake na shavuni na kiganja changu nahisi kimevimba kwasasa namhurumia ila kwa jinsi alivyo nipiga naona huruma lakini naona haina maana.
Najiuliza ujasiri huo aliupata wapi wa kunikata kofi, umetokea wapi na sijawahi kumpiga tokea nimuoe miaka mitatu sasa na huku nimemkataza zaidi ya mara tano hanielewi na mimi ni mume wake halali kabisa, naombeni maoni labda nimefeli wapi au niko sahihi au ilitakiwa ni fanyeje!
Asanteni