Mikoani maisha yamejaa kufuatiliana, ulozi, ufitini na umbea

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
2,005
3,903
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.

Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia bali ni udadisi, umbea na ukuda tu na ikiwezekana wakukwamishe tu.

Ikitokea umekwama basi kwao ni shangwe kubwa licha ya kwamba hawafaidiki kwa lolote!

Ufitini ni maisha ya kila siku. Hawataki unufaike lakini hiyo fursa hata ukiwaachia hawawezi kufaidika nayo.

Ikitokea umetoboa kimaisha basi utahusishwa na skendo zote mbofumbofu hapo mkoani. Mara Ooh huyu asingetoboa bila ulozi (uchawi) au utasikia jamaa lilikuwa lijambawazi hili au usalama wa taifa, mara ooh sijui aliiba tenda jeshini yani ujinga mtupu.

Unahitaji ngozi ngumu sana na pamba za kutosha za masikioni ili uweze kutoboa mikoani.
 
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa TZ labda ukiiondoa Dar pekee.

Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia bali ni udadisi, umbea na ukuda tu na ikiwezekana wakukwamishe tu.

Ikitokea umekwama basi kwao ni shangwe kubwa licha ya kwamba hawafaidiki kwa lolote!

Ufitini ni maisha ya kila siku. Hawataki unufaike lakini hiyo fursa hata ukiwaachia hawawezi kufaidika nayo.

Ikitokea umetoboa kimaisha basi utahusishwa na skendo zote mbofumbofu hapo mkoani. Mara Ooh huyu asingetoboa bila ulozi (uchawi) au utasikia jamaa lilikuwa lijambawazi hili au usalama wa taifa, mara ooh sijui aliiba tenda jeshini yani ujinga mtupu.

Unahitaji ngozi ngumu sana na pamba za kutosha za masikioni ili uweze kutoboa mikoani.
Watu wa dar mnajikuta aiseee coz mm nilikaa hyo mkoa mwazon nilizan huwenda dar n kama Nairobi lakn lait syo nguvu ya serkali pasnge tofautiana na lindi alaf wakuja ndyo mnajikuta kulilo wenye mji wao wazaramo alaf jitu kama ww ulipelekwa eitha kusoma au kwa mjomba mshamba tu
 
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.

Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia bali ni udadisi, umbea na ukuda tu na ikiwezekana wakukwamishe tu.

Ikitokea umekwama basi kwao ni shangwe kubwa licha ya kwamba hawafaidiki kwa lolote!

Ufitini ni maisha ya kila siku. Hawataki unufaike lakini hiyo fursa hata ukiwaachia hawawezi kufaidika nayo.

Ikitokea umetoboa kimaisha basi utahusishwa na skendo zote mbofumbofu hapo mkoani. Mara Ooh huyu asingetoboa bila ulozi (uchawi) au utasikia jamaa lilikuwa lijambawazi hili au usalama wa taifa, mara ooh sijui aliiba tenda jeshini yani ujinga mtupu.

Unahitaji ngozi ngumu sana na pamba za kutosha za masikioni ili uweze kutoboa mikoani.
Nyie wa Dar wote mnaishi Masaki, Osterbay, mikochdni na Msasani!!
 
Huu unaoueleza hapa ni ubinadamu siyo athari za mikoa au wanaoishi mikoani.
 
Watu wa dar mnajikuta aiseee coz mm nilikaa hyo mkoa mwazon nilizan huwenda dar n kama Nairobi lakn lait syo nguvu ya serkali pasnge tofautiana na lindi alaf wakuja ndyo mnajikuta kulilo wenye mji wao wazaramo alaf jitu kama ww ulipelekwa eitha kusoma au kwa mjomba mshamba tu
mkuu kwa zile pilika za dar mtu anafanya uo umbea saangapi? dar watu ni majirani lakini si ajabu hawajuani. mtu anatoka hom usiku anarudi usiku huo muda wa kujungua anautoa wapi?
 
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.

Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia bali ni udadisi, umbea na ukuda tu na ikiwezekana wakukwamishe tu.

Ikitokea umekwama basi kwao ni shangwe kubwa licha ya kwamba hawafaidiki kwa lolote!

Ufitini ni maisha ya kila siku. Hawataki unufaike lakini hiyo fursa hata ukiwaachia hawawezi kufaidika nayo.

Ikitokea umetoboa kimaisha basi utahusishwa na skendo zote mbofumbofu hapo mkoani. Mara Ooh huyu asingetoboa bila ulozi (uchawi) au utasikia jamaa lilikuwa lijambawazi hili au usalama wa taifa, mara ooh sijui aliiba tenda jeshini yani ujinga mtupu.

Unahitaji ngozi ngumu sana na pamba za kutosha za masikioni ili uweze kutoboa mikoani.
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom