Mimi nikiamka jua likitoka nakua mzima had jion giza likiingia naanza kuumwa mafua usiku mzima kias hadi natumia mdomo kupata pumzi.
Hii Hali Ina mwaka huu wa 3
Mchana mzima kabisa,
Pia naomba kuuliza je feni inaweza sababisha niumwe?
Maana nalala na feni kila siku
Wapendwa.....
Nataka kutafuta kijiwe kwaajili ya kuafanya biashara ya maziwa mtindi na fresh
Hapa Dar yanapatikana wapi kwa bei ya jumla?
Kwa aliyewahi kufanya je inalipa?
Changamoto zake ni zipi?
Na kwakuanza natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani?
Nafanya business online, huu mwaka wa 2
Toka nimeanza kufanya haya mtokeo makubwa na mazuri niliyapata kwa Mara ya kwanza,
Ndani ya miezi 2 yaani December na January niliweza kupata 1M na shilingi Kazaa
TOA matumizi, bills, chakula n.k ndani ya hiyo miezi 2 nililipa na rent pia 120k ya miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.