Search results

  1. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Wewe ndio mpumbavu nambari moja kwa sababu ni mwanamke uliyekubali kuolewa pasipokujua nini maana ya ndoa. It is very clear from the bible kuwa anayeolewa ni mwanamke na sio mwanaume -hakuna kitu kinaitwa kuoana - bali mwanamke ndiye anayeolewa . Kwa tafsiri nyingine ni kuwa MWANAMKE akikubali...
  2. D

    Niliachana na ajira nikaingia kwenye kilimo, na kweli mambo yamejipa

    Usiwadanganye watu waache ajira eti waende wakajiajiri kwenye kilimo Mkuu. Kilimo kina stress hatarii. Lakini pia ajira inategemeana una ajira gani? Mfano mtu unafanya kazi na basic yako ni 4m plus, na huna stress za kusumbuana na vibarua Wala wadudu huko maporini Kuna haja Gani ya kuacha ajira...
  3. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Njoo sebuleni tutaongea vizuri sana na kuyajenga pamoja 😘
  4. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Umenena vyema kabisa my sweetheart 😘
  5. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Na wewe umekwishapatikana ? Karibu nikupe somo ambalo litakusaidia kuimarisha ndoa yako
  6. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Kwa hiyo Jimbo lipo wazi ??
  7. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Yes, when someone read your comments and the thread between the lines, no doubt, the said woman is YOU
  8. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Pole kwa yaliyokukuta lakini nakushauri ukitaka ndoa yako idumu na kama kweli unampenda mwenzio usiangalie madhaifu yake wewe timiza wajibu wako kama mke halafu endelea kumuomba Mungu ili aweze kumbadilisha mke wako kwa kumpa uelewa na kuwa na moyo wa kukusaidia mke wake. Uwe unamuomba Mungu kwa...
  9. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Hatuwezi kujaribu kufanya hivyo kwasababu ndio maana Kuna mgawanyiko kati ya mwanamke na mwanaume ..... Na ndio maana mwanamke anakojoa huku amechuchumaaa, ili hali mwanaume anakojoa huku akiwa amesimama Hiyo ndio inaleta utofauti. Zaidi ya hapo inakuwa ni kiburi tu Cha mwanamke kutaka...
  10. D

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Mwanamke kabla ya kukubali kuolewa yampasa kwanza afahamu mashariti ya ndoa, ambayo kubwa la kwanza na muhimu kuliko yote ni kukubali kulala bila kuvaa PICHU na hayo mengine ya usafi , kupika , kufua n.k ni viambata vyake tu ambayo nayo ni muhimu ayajue kuyatekeleza yote
  11. D

    Serikali, ondoeni kikokotoo kinawaibia Watumishi wa umma

    Police na wanajeshi, manesi, madaktari, walimu wa shule za msingi, na wengine wengi wakiwemo watendaji wa vijiji, mahakimu na makarani / ps
  12. D

    Looking for a single woman to be ' WIFE OF MY LIFE'

    Mkuu lengo langu ni kupata 'mwanamke bora' ambaye atakuja kuwa mke wa maisha yangu. Kumbuka usemi usemao 'kosea vitu vyote lakini usije kukosea kuchagua mwenza bora wa maisha' kwa sababu ukikosea hapo baadae utakuja kujuta. Hivyo basi, nia na madhumuni ni kumpata mwanamke sahihi anayekidhi hivyo...
  13. D

    Looking for a single woman to be ' WIFE OF MY LIFE'

    Shemeji we mpelekee tangazo alione na kama yupo interested basi anipe mawasiliano yake. Utakuwa umepata shem bora na sio bora shem
  14. D

    Looking for a single woman to be ' WIFE OF MY LIFE'

    Dear Jf Crew team, I am looking for a single woman who may become my 'Soulmate ever in my lifetime'. My Merits: My education is beyond Bachelor's degree Employed by government My age range is between 35 to 40. Single woman merits needed Education, the minimum should be a Bachelor's degree...
  15. D

    Watu wanaoweza Kumsaidia Rais Samia ni hawa wafia chama - CCM kindakindaki

    Usemalo ni kweli kabisaa lakini nadhani kuna shida kubwa sana, ingekuwa kuna mfumo mzuri nadhani wahusika wangelifanyia kazi kwa wakati muafaka kwa maslahi mapana ya taifa letu.
  16. D

    Watu wanaoweza Kumsaidia Rais Samia ni hawa wafia chama - CCM kindakindaki

    Mheshimiwa Rais wa JMT, Pamoja kuwa upo busy na majukumu yako lakini ikikupendeza basi naomba usome huu ujumbe wangu pasipo kuchoka, na kama kuna wasaidizi wako basi itakuwa ni vema endapo watakufikishia ujumbe huu. Taifa lolote lile duniani ili lifanikiwe linahitaji kuwa na watu ambao ni...
  17. D

    Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Wana familia ya Jf, Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe. Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
  18. D

    Naombeni mnishauri kwenye hili la wadogo zangu kuhusu aina ya kozi za kusomea

    Huyo aliyesoma PCM nakushauri aende akasome Bachelor of Technical Education in Civil engineering or Bachelor of Technical Education in Architectural and Technology or Bachelor of Technical Education in Mechanical engineering, Hizo course kwa Sasa ni hot cakes na ajira yake ipo nje nje...
Back
Top Bottom