Search results

  1. GOLD BOY

    Naomba kujuzwa taratibu za kumchumbia binti wa kiislamu

    Kwema wanajf, Naomba kujuzwa taratibu gani za kufuata unapohitaji kuoa mke wa kiislamu, kijana wenu nahitaji kuoa aisee nasikia ndoa tamu sana. NB, wale kataa ndoa msichangie
  2. GOLD BOY

    Hili sio Roboti bali ni mdoli mkubwa

    Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza katika uongeaji hakuna ishara ya mdomo kuzungumzia chini linatairi pili macho yake yametazama sehemu...
  3. GOLD BOY

    Ni kwanini waganga wa jadi wanazikwa wamekaa kwenye kiti au kigoda

    Naombeni kujuzwa ni kwanini waganga wa kienyeji wanazikwa wakiwa wamekaa kwenye kiti pia makaburi yao ni mviringo kama kisima, mwenye uelewa ni kwanini anijuze. Na je ikitokea amezikwa kawaida nini kitatokea? Lakini pia kwanini wanatupa kaburini kinyesi cha ngombe kabla ya kumfukia
  4. GOLD BOY

    Natafuta mchumba

    Awe na sifa hizi ✓awe mrefu wa wasitani ✓awe mweupe kidogo au maji ya kunde ✓Asiwe na mtoto ✓Elimu kuanzia kidato cha nne ✓kabila lolote isipokuwa muha na mkurya ✓umri miaka 23 Hadi 27 ✓Awe anapatikana Mwanza Sifa zangu ni hizi ✓self employed ✓Elimu degree ✓miaka 27 ✓ mrefu mweusi kidogo ✓dini...
  5. GOLD BOY

    Kama familia yako haina uwezo wa kula Milo mitatu Kwa siku hio ni familia duni

    On point, kama familia yako huwezi kupata milo mitatu kwa siku hio familia ni duni au masikini, kwaio kama unajua kabisa wewe ni mchana na usiku tu ndio unapata chakula basi work hard my bro ili uyoke kwenye kundi la familia masikini. Familia ya kati inauwezo wa kumudu Milo mitatu Hadi minne Kwa...
  6. GOLD BOY

    Hawa vijana wanaohitimu mafunzo ya kijeshi na kukosa ajira ni hatari Kwa taifa letu

    On point, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la vijana waliohitimu mafunzo ya kijeshi na kukosa ajira, hivi ikitokea Hawa vijana wamebadili mawazo au wameshawishiwa na kikundi Cha kiharifu kujiunga navyo ni hatari Kwa usalama wa watanzania. Ukifatilia wanasema jeshi tumelima sana...
  7. GOLD BOY

    Kwa wanawake wenye tabia za kutegesha mimba acheni mara moja

    Moja Kwa Moja kwenye points aisee hivi karibu idadi kubwa ya masingle mama imeongezeka Kwa Kasi ya ajabu kila nitakae piga nae story Moja mbili hivi anasema yeye yupo single na anawatoto tu analeta mwenyewe. nyie wadada tambueni hili unapomtegesha mimba mwanaume ambae sio mumeo unajiweka kwenye...
  8. GOLD BOY

    Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria gani hizi ambazo zinamkandamiza mtoto? Mtoto ni mtoto tu haijalishi ni kambo au wandoa. Wanasema...
  9. GOLD BOY

    Manara, huo mchezo wako tumeushitukia

    Bwana haji Manara sawa kuoa ni haki yako ya kidini lakini isiwe geuze kuwa chanzo cha mapato kwa kulenga michango utakayopewa na ndugu na jamaa. Haiwezekani wewe ni kuoa kuacha kuoa kuacha unachezea watoto wa watu ukiwalingishia ndoa, sasa tumeshakujua tabia yako, unataka tukuchangie hulambi...
  10. GOLD BOY

    Private school ni kwaajili ya watoto wa mama laini laini, mayai mayai

    Shule private zinamfanya mtoto kuwa zombie mlegevu mlegevu hata kazi za nyumbani hawezi kufanya kutwa kulala tu. Kwenye mitihani makaratasi et mara 100 ya masomo ya ajabuajabu tu afu kichwani sifuri kabisa. Nimeona wengi ambao tumesoma nao advance ni hakuna kitu aliefaulu sana akipata div 3 ya...
  11. GOLD BOY

    Naomba softcopy ya hiki kitabu

    Nilivyoolewa na mwanaume shoga. Mwandishi ni Juma hiza.
  12. GOLD BOY

    Dira ya elimu hii ya bure inaelekea wapi huko?

    Habari za muda huu wanaJF, ni kijana wenu nimeleta Uzi huu tushare kwa pamoja, hivi inakuaje mtoto anafika hadi level ya sekondari kidato Cha kwanza hajui kusoma yaani haelewi chochote, na je alifaulu vipi mtihani wa darasa la nne na darasa la saba? Hili linanitia mashaka kabisa huko shuleni...
  13. GOLD BOY

    Masikio kutoa milio

    Habari za muda huu wanajf, Nimekuja kwenu wanajf ili niwezekupata mbili tatu kuhusu hii milio ya masikio ambayo imenisababisha kutosikua vizuri kabisa tatizo halina muda mrefu sana.
  14. GOLD BOY

    Ruhusa ya kutumia maji ya ziwa Victoria

    Habari wanajf, Naomba kueleweshwa inakuaje Tanzania tuombe ruksa ya kutumia maji ya ziwa Victoria ilhali ziwa ni letu? Misri alishawahi kusema kwa yeyote atakayetumia maji ya ziwa Victoria bila idhini kutoka kwao wako tayari kwa kupigana vita. Upande wangu kwakweli nimekeleka sana yaani ziwa...
  15. GOLD BOY

    AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

    Naomba ninukuu alivosema mheshimiwa Gwajima et AI haiepukiki inachochea ukuaje wa uchumi, ivi ni kweli ?? Kwa upande wangu hii sio kweli Tanzania kiteknolojia bado sana , nchi masikini utaileteaje AI kutatua changamoto za uzalishaji ilhali wakunamitambo au resources za uhakika na zenye uwezo wa...
  16. GOLD BOY

    Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

    Habari za muda huu viongozi, nimatumaini yangu kuwa mko fit. Bila kuchelwa najua humu kuna wakuu wa shule mbalimbali, wafanyakazi na n. k, mdogo wangu amekomea form six kielimu kutokana na changamoto ya kukosa mkopo hakwenda chuo hivyo anawaomba wanajf msaada apate angalau kibarua cha kufundisha...
  17. GOLD BOY

    Hawa ndio mainjinia sasa

    Madegree ya kwenye makaratasi tu, udsm tunamaprofesa na maphd ya injinia lakini wawajawahi kutengeneza ata wembe tu [emoji1787][emoji1787], ata hako kamewashinda kweli aisee afu unataka mm niwe innovative kivipi?
  18. GOLD BOY

    Kusomesha watoto shule za private ni matumizi mabaya ya fedha

    Kwenu mnaosomesha watoto shule za gharama ilihali serikali inatoa elimu bure , mzazi unapeleka mtoto kujiunga kidato cha kwanza shule binafsi utazani labda wanafundishwa masomo tofauti na alie shule za umma hayo ni matumizi mabovu ya pesa. Wazazi wengi wanapenda show off hasa wazazi wa kike...
  19. GOLD BOY

    Kama wenye PhD ya Aquaculture hawana hata bwawa la samaki, mimi nitaweza vipi?

    Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato wanatufundisha sisi tusome tujiajiri kivipi!? Kama wewe na phd yako huna hata bwawa la samaki mm nitaweza vipi...
  20. GOLD BOY

    Matumizi ya AI kujibu maswali vyuoni ni kudumaza akili

    Nakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili taifs mbeleni watazalishwa wasomi hewa [emoji1][emoji1][emoji1]
Back
Top Bottom