Kuna mambo yanaumiza sana maisha, sasa mtu anaposema analala njaa namuelewa… hali hii ndiyo niliyonayo kwa sasa. Naomba sana wanangu au mtu yeyote asije akapita kwenye mapito yangu
Hawa ni sawa na NEO-LIFE wapo hapa Dar Mwenge. Wanauza madawa wanayodai ni food suppliments ila kiingilio ni pesa. Wako kwenye mfumo uleule wa network marketing unaoliza watanzania. mshauri achukue hela yake akafanye jambo jingine
Umeongea ukweli mtupu kaka. Cha kuongezea pia, sio tu takwimu yaani taasisi za serikalini kwenye dissemination ya taarifa kwa ujumla ni tatizo. Tovuti hazina taarifa za kutosha na kuna nyaraka ambazo ni public nazo zinafichwa yaani shida tupu. Ukianza kufanya kazi za research ndo mtu utaelewa zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.