Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 5,532
- 17,769
Yah ni kwelHamna bwana. Mimi najua ubaya hauna jinsia. Siku hizi jinsia zote zimecharuka ukijichanganya tu inakula kwako.
Yah ni kwelHamna bwana. Mimi najua ubaya hauna jinsia. Siku hizi jinsia zote zimecharuka ukijichanganya tu inakula kwako.
Happy new yearUbaya hauna jinsia.
Ila wanawake wamezidi ubayaUbaya hauna jinsia.
Unaweza kuwa upo sahihi kulingana na matukio uliyoshuhudia. Sikupingi.Ila wanawake wamezidi ubaya
mshamba sio mmbea ila kuna kitu amehisi😅Sio kosa usijali, unaombaje hadharani 😁
Kuhisi ndio dalili za kwanza za kuwa mmbea 😂mshamba sio mmbea ila kuna kitu amehisi😅
Happy New Year mdogo wangu 😂😂mshamba sio mmbea ila kuna kitu amehisi😅
Nmekuelewa 😂😂😂😂🏃🏃
Yaaani ndani ya muandiko nauona utoto mwingi,na ujuaji samahan lakini mleta mada,jitahidi kua na lugha moja katika kuandika maana hio lugha ya ng'ambo kidogo inakupatia shida.Kupita pita mitandaoni nikaiona hii story imeniuma sana,ogopa sana wanawake ukipata muda kaa chini na kuogopa Mwanamke. Mwanamke ni Andazi.
Kuna Tukio limetokea kitaa hapa almost 2 weeks Kuna demu alikua anadate na men wawili mmoja ni broke and thug man almost kama 24yrs alafu Kuna men mwingine ambaye ni wakishua 25yrs flani ambaye alikuwa anampa Demu Kila kitu but demu anapeleka Kwa Thug man wake,
Thug man knew everything but decided to stay calm since he got nothing to feed the girl as matter of fact demu ndo alikuwa anatoa vitu Kwa menikafikia stage demu akawa anaona miamala ya rich men wake.one day demu akacheki messages na kukuta salio la msela wake ni 3M+ akaenda kumpa code thug nigga wake kuwa wanatoka na jamaa na afanye kama amewafuma and amlazimishe jamaa atoe password ya simu na aweke pin ya Mpesa ili watoe muamala wasepe.
Kweli Thug man did as they planned akatokea hadi magetoni Kwa msela akawakuta na demu wake and scene continue as planned As Thug man anamlazimisha jamaa atoe password ukazuka ugomvi and rich man so kinyonge akampiga Thug nigga and Thug nigga kuona hafui dafu akachomoa kisu akamchoma jamaa Cha moyo and he was rushed to the hospital and the thug nigga taken mpaka polisi.
Then after three days rich man died and Thug man Taken jail akisubiri hukumu ya mauwaji but the girl stand as a witness na akikana kumjua thug man wake Aisee Tuendelee kujiepusha na wanawake ambao sio potential kwetu and as youth tuache Tamaa na Mikumbo, Things will get better if we will priotize our goals and improving our families rather than being dick driven "MUNGU ATUSIMAMIE"
Andazi kwenye kiwiliwili, Cobra Kichwani 😂Kwahiyo unasema mwanamke ni kobra au andazi?
Wanaume wanaopelekeshwa na wanawake ni hawajielewi , mwanaume unakubalije kuwa mtumwa WA pesa za mtu!!!Shida iko kwa hiyo jamaa! Wewe unapewa dili butu namna hio una simama nalo kidete!
Nadhani pia haudhurii vikao huko angejua kuna wakati inafika mwanamke hatumii akili, wewe kama mwanaume ndio inatakiwa akili yako iwe imara kukabiliana na mihemko ya mwanamke!
Sure, kuna saa akili ya kiume inafanya kazi na kutangulia mbele akili ya kike, binafsi wazo la mwanamke nalifanyia kazi kesho na sio leo baada ya kutafakari, ingawa nasi tukiwa na mihemko ya juu akili inahama kidogo ila haichelewi kurudi.Wanaume wanaopelekeshwa na wanawake ni hawajielewi , mwanaume unakubalije kuwa mtumwa WA pesa za mtu!!!