Search results

  1. D

    Huku chawa, kule wadudu

    Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
  2. D

    Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
  3. D

    Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  4. D

    Kuhusu Elimu: Nini sifa za mgombea Urais 2025?

    Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu. Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila kueleza ni ya nini. Kigezo hiki kilimfanya Frederick Sumaye kukimbilia Marekani kusaka digrii. Hali...
  5. D

    Tuheshimu Katiba. Uchaguzi Mkuu ufanyike 2026

    Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga". Baada ya hapo aliyekuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Rais wa JMT. Katiba yetu inaelekeza kuwa...
  6. D

    Lissu kama kweli unataka kuwa Rais wa JMT achana na "cheap politics"

    Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili. Lissu achana na hizi siasa za kulumbana na Paul Makonda kuhusu GSM ukidhani "umempiga". Kumbuka ukiwa Rais Makonda...
  7. D

    Naombeni msaada kuufahamu hiki kiitwacho Bitcoin?

    Wadau, nakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusisituza vijana kucheza Bitcoin. Kuna kampuni ya Bitcoin imeniimgiza huko. Na inanitaka nianze Kwa kuwekeza $200 kwamba nitavuna $360. Je Kuna ukweli wowote katika Bitcoin?
  8. D

    Historia imejirudia, CCM imekuwa Mkoloni na CHADEMA Mdai Uhuru!

    Niliwahi kusikia kwa Mwalimu wangu kuwa historia ina tabia ya kujirudia na kwamba hakuna jipya chini ya jua. Kwamba hata haya mavazi na fasheni zake si jambo jipya. Yaliwahi kuwepo kwa nyakati tofauti. Kabla ya Uhuru wetu 1961 nchi ya Tanganyika (sasa Tanzania) ilitawaliwa na Serikali ya...
  9. D

    Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

    Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana. Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
  10. D

    Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu...
  11. D

    Kusimamisha maandamano ya tarehe 15 Februari ni udhaifu mkubwa sana

    Naona kuna wito unatolewa kwa CHADEMA na baadhi ya watu kuwa chama hicho kisitushe maandamano hayo ya kudai haki kupisha maombolezo ya kifo cha Edward Lowassa. Wanatumia kigezo kuwa Lowassa pia amewahi kuwa mgombea Urais wa chama hicho hivyo watakuwa wanadhulumu haki yake ya kuombolezewa...
  12. D

    Kuna nini katika tarehe 17 February?

    Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda...
  13. D

    CHADEMA ipewe hadhi sawa na CCM mazishi ya Lowassa

    Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA. Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya...
  14. D

    Wengi hamjui, ujasiri wa Makonda ulianzia hapa!

    Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua nyumbani kwake kama rafiki na Msaidizi wake. Ni Sitta alifanikisha Makonda awe Katibu wa Chipukizi na...
  15. D

    Bei ya chai kwenye mighahawa imepanda maradufu

    Wanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa...
  16. D

    Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?

    Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
  17. D

    Makonda, unajiua mwenyewe mbona hustuki?

    Bahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa. Mwenezi unadai kuna watu wanataka kukuua. Tena si upinzani Bali ni CCM. Unakichafua chama chako mwenyewe kuwa na wauaji Sasa nakutonya, uko kwenye mtego ndio maana kwenye maadhimisho ya miaka 47 hukusikia kiongozi mwengine ngazi ya Taifa akiongea...
  18. D

    Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

    Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi. Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika...
  19. D

    Chadema chukueni ushauri huu, ni muhimu na wa muhimu na wa bure!

    Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana. Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana katika mambo haya. Wanajifanya hawakuona maandamano hayo. Kwa Sasa Kituo kinachofuata kiwe Mwanza. Na...
  20. D

    Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

    Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano. Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa...
Back
Top Bottom