Search results

  1. utopolo og

    FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

    Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi majira ya saa 2:30 za usiku 00" Mpira umeanza........ 01" Yanga wanapata kona dak ya kwanza ila...
  2. utopolo og

    Mechi ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania yaahirishwa

    Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa. Taarifa zaidi zitafata
  3. utopolo og

    UMEAHIRISHWA: JKT Tanzania vs Yanga | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Meja Jen Isamuhyo | 23/04/2024 Umeahirishwa

    Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu dhidi ya Jkt Tanzania. Ikumbumbwe katika mchezo wa raundi ya kwanza, Yanga ilipata ushindi wa 5-0...
  4. utopolo og

    Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

    Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo.. Vipi maoni yako? Je...
  5. utopolo og

    Edo Kumwembe: Fiston Mayele anaumia sana kuona Yanga inafanikiwa bila yeye

    Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga. “Nadhani kuna tabia ambayo Mayele aliificha akiwa Young Africans na sasa ameifichua. Kutaka kuonekana...
  6. utopolo og

    Max Nzegeli na Gamondi watwaa tuzo za Mchezaji Bora na kocha Bora August

    Habari ndio iyo, mwendo ni 5G kwa Kila anayekuja mbele yetu. Makolo Wana haha huko walipo mavi vanagonga vyupi[emoji23][emoji23]
  7. utopolo og

    Fiston Mayele aipeleka DR Congo Afcon

    Mayele ameisaidia Nchi ya DR Congo kufuzu michuano ya Afcon baada ya kuifungia bao la ushindi kwenye ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Sudani.
  8. utopolo og

    Fedha zetu za Michango ya ujenzi wa uwanja wa Simba ndio zimeliwa?

    Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi. Wanasimba wengi tulichanga kwa fujo Fedha ili tuweze kumiliki kiwanja chetu Cha kuchezea mechi zetu...
  9. utopolo og

    Simba iwekeze nguvu zake kwenye Kombe la Mapinduzi, huku kwingine inaenda tu kupoteza muda

    Wasalaaa.. Nitoe wito kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba uwekeze nguvu zake kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi maana ndio tunaweza kulichukua kwani kwenye hii michuano timu nyingi zinapeleka vikosi vya pili. Michuano ya Caf Super League tayari tumeshatolewa hata kabla ya kucheza iyo mechi na Al...
  10. utopolo og

    Hivi ile kampeni ya Simba kujenga Uwanja wake imeishia wapi?

    Mara baada ya aliyekuwa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez kuzuiliwa kukaa jukwaa kuu na watoto wake alikuja na wazo la Simba ijenge uwanja wake. Ninaomba Wana Simba wenzangu mnisaidie kujibu haya maswali; (1) Ile kampeni yetu ya kuchangia ujenzi wa uwanja wa Simba imeishia wapi? (2) Je...
  11. utopolo og

    Je, wajua kuwa Simba ndio ilisababisha Tanzania kuitwa kichwa cha Mwendawazimu?

    Ingawa huu usemi umetamalaki kwenye sekta mbalimbali hasa za michezo hapa Tanzania, ila kama ulikuwa hujui basi chukua hii Leo. Mwaka 1993 klabu ya Simba ilifika fainali ya michuano iliyoitwa Caf cup dhidi ya Stella Abidjan ya nchini Ivory coast. Mchezo wa kwanza ulipigwa nchini Ivory Coast...
  12. utopolo og

    FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

    Mabingwa watetezi wa Azam Federation Cup Young Africans leo majira ya saa Moja usiku watashuka katika Simba la Chamazi kumenyana na Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo. Ikumbukwe lazima mshindi apatikane Leo, Je ni Wananchi au wajelajela ndio wataotoka na kicheko? Tuwe...
  13. utopolo og

    FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

    Ni siku nyingine tena ambapo Mabingwa wa Uganga Vipers S.C wanawakaribisha Simba S.C kwenye mchezo mwingine wa kutafuta alama tatu ili kujiweka sawa katika msimamo wa kundi C wa ligi ya Mabingwa barani Afrika. Mchezo huu utapigwa kwenye dimba la mtakatifu Maria huko Kitende nchini Uganda...
  14. utopolo og

    Kassim Dewji ang’atuka Simba Sports Club

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba ndugu Kassim Dewji amestaafu rasmi kama kiongozi wa Simba S.C na Sasa anajiandaa na maisha mengine nje ya uongozi wa Simba
  15. utopolo og

    Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

    Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au Manzoki wa Zanzibar ndio kinara wa mabao kwenye ligi ngumu huko visiwani Zanzibar na inasemekana...
  16. utopolo og

    Yanga yamtambulisha beki wa mpira Mamadou Doumbia

    Mabingwa wa makombe yote nchini Tanzania ambao pia ndio vinara wa ligi ya Nbc Dar Young Africans almaarufu Yanga leo wamemtambulisha beki kisiki cha mpingo raia wa Mali. Usajili wa Mchezaji huyo kutoka Stade malien utaongeza nguvu sehemu ya ulinzi ya kikosi cha wananchi msimu huu Mwaka huu...
  17. utopolo og

    Simba hii vilio basi, Wababe wa Ulaya kutoka Moscow nusura walale na viatu

    Klabu kubwa hapa afrika Simba mnyama mkali leo imetoshana nguvu na vigogo wa soka barani ulaya CSKA Moscow kwa kufungana magoli 2-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa huko Dubai. Magoli yote mawili ya Mnyama mkali Simba yametiwa kimiani na Mshambuliaji mkali Habib kyombo (Halland...
  18. utopolo og

    Kuelekea kufungwa dirisha la usajili leo, Simba S.C mambo magumu

    Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 5:59 usiku wa leo, klabu kongwe hapa nchini Simba imeshindwa kukata kiu ya wapenzi na mahabiki wake baada ya kushindwa kufanya usajili wa wachezaji wenye majina makubwa kama walivyosema hapo awali. Kabla ya kufunguliwa dirisha la usajili, baadhi ya...
Back
Top Bottom