FT: Yanga 3-0 Tabora United | CRDB Bank Federation Cup | Azam Complex | 01.05.2024

utopolo og

JF-Expert Member
Nov 29, 2022
540
1,383
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup.

Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi majira ya saa 2:30 za usiku

00" Mpira umeanza........

01" Yanga wanapata kona dak ya kwanza ila haikuzaa matunda

02" Kona ya pili Wanapiga Yanga ila nayo inaokolewa...

Yanga wameanza kwa kasi mchezo huu

05" lango la Tabora United lipo kwenye misukosuko lakini wanakaa vizuri na kuondoa hatari zote

15" Yanga 0-0 Tabora United

25" Bado milango ni migumu kwa pande zote, Tabora United wamepaki basi

35" Gooooal..... Yanga wanapata goli la kwanza linalofungwa na Aziz Ki
45" Mpira ni mapumziko Yanga wanaenda wakiwa mbele kwa goli moja

46" kipindi cha pili kimeanza

66" Gooooal... Yanga wanapata goli la pili lililofungwa na Kennedy Musonda

82" Gooooal... Yanga wanapata goli la tatu mfungaji akiwa ni Joseph Guedee

20240501_114840.jpg
 

Attachments

  • 20240501_203442.jpg
    20240501_203442.jpg
    247.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom