Mechi ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania yaahirishwa

utopolo og

JF-Expert Member
Nov 29, 2022
540
1,383
Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa.

Taarifa zaidi zitafata
 
Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa..

Taarifa zaidi zitafata
Sasa umefungua uzi mwngine wa nini? Si unge edit tu kwenye ule wa .mwanzo
 
Nimewahi kushauri ligi kuu ichezwe kwenye baadhi ya viwanja pekee ila ikaonekana kama ni ubinafsi KIWANJA kama kile hakipaswi kuwa kwenye viwanja vya ligi kuu kwa dar wote wangecheza taifa Mkapa au chamazi basi.
NB:hii mechi Leo ingechezwa hata si wa kwenye tv tusingefaidi maana Azam hata kunguru akitua network inakata
 
Hatimaye yametimia. Wenye maono tulisema toka siku ile Simba amepelekwa kucheza hapo kuwa Yanga hawatatumia huo uwanja, na sasa unabii umetimia. Kama ni tope, si ni juzi tu Yanga hao hao wamecheza kule Mwanza kwenye tope.

Eti wameufungia Uwanja wa Uhuru halafu wamekuja kuruhusu huu. Ila hizi ndiyo athari za kuwa na taasisi za serikali kwenye mipira, kuna kuogopana
 
Back
Top Bottom