Search results

  1. D

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    Akili maana yake nini? What i know is that intelligence is multidimensional concept. Hakuna mwenye hati miliki na akili. Hata mungu hata hakuweka haki miliki kwa mtu yeyote.
  2. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Mwekezani siku zote ni risk averse hawezi kuwekeza sehemu ambapo hakuna utawala wa sheria mana anajua mda wowote anaweza kunyanganywa mtaji kibabe tu eti ni fisadi wakati rais hana mamlaka hayo ispokuwa mahakama na wakati wa jpm majaji walikuwa wanapigiwa simu tu kwamba funga huyu acha huyu. Ndo...
  3. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Sera ya kodi ya tanzania ni favourable sana kuliki kenya pia hakuana kikisi kazi kama zamani enzi za jpm cha kuvamia account binafsi na kupora pesa. Kuna utawala wa sheria na wawekezaji wanapend sana hilo ili kulinda migani yao. Hakuna one man show tena ambaye amiamka na mizuka yake anaamua lolote
  4. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Fanya tafiti ndogo. Tembelea ofisi za uwekezaji za kenya wakupe idadi ya wawekezaji wanaingia na wanaondoka halafu uje tanzania ufafanye the same utafiti
  5. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    We una zero ya uchumi kichwani. Nani kakwambia kwamba mwekezaji anavutiwa na kuwa na strong currency? Unajua jinsi china ilivyowarua wawekezaji wakubwa kabisa duniani kama akina elon musk wakati ime devalue currency yake! Au hujua maama ya currency devaluation and and currency depreciatio. Rudi...
  6. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Sikiliza dw ya leo mchana. Usionger kwa hisia au kwa kuhadithiwa. Imechambuliwa na maprof wa kikeny wenyewe siyo mimi
  7. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Samia hafukuzi wazawa bali anawatafutia pa kuishi. Nchi zozote duniani zinafanya hivyo. Huwezi kue delea kuishi sehemu ambayo ni productive halafu huzalishi halafu serikali akakuacha na kukutazama tu. Lengo la serikali ni kukusanya kodi kwa matumizi mbali mbali ikiwemo hao wanaohamishwa...
  8. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Tataizo Luto amekumbatia ser za jpm ndo maana uchumi unasambaratika mapak apinduliwe na jeshi au auawe kama alivyokufa jpm ili nchi isonge mbele
  9. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Wapi inadidimia. Au huelewi maama ya uchumi. Sema wewe unazidi kudidimia kifedha siyo kiuchumi. Uchumi ni macro economic variable siyo individual. Sasa hivi pato langu limeongeza 3 times ukilinganish ana kipindi cha jpm ambaye alikuwa kila mtu anamuona mwizi ispokuwa makonda na sabaya tu
  10. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Sasa kama watu kama nyie fursa zipo lakini hamzioni kwa nini wakenya wasije kuwafundisha
  11. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Mawazo ya darasa la saba haya. Hakuna msomi anayeweza kuwaza hivi. Kumbuka sera zikiwa nzuri zinamshawishi mwekezaji. Mwekezaji kumvita ni kazi. Jpm yeye alivutia machinga tu allitaka kilia mtu awe mnyonge ili amtawale vizuri
  12. D

    Wafanya biashara wakubw wamiminika tanzania kutoka kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya samia inawavuta maelfu kwa mamia. Hongera samia. Tutarewana

    Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  13. D

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
  14. D

    Lissu aombe radhi, asijitoe akili

    A Amewavuruga au anajivuruga mwenyewe na slowly anapotea kwenye siasa. Mwanasiasa mzuri ni yule anayekuwa na ideology isiyobadirika
  15. D

    Naomba kujua viability ya UTT please kabla sijawekeza huko.

    Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
Back
Top Bottom