J
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai
Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.
Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.
Mama ni nguli wa uchumijifunze