Search results

  1. Peter_John

    Hii Ndio Hali Halisi Ya Mkoa Wetu Wa Dar Sijuwi Kwenu Kukoje?

    Tushauri tufanye nini maana wengine tumejikuta tu tumezaliwa dar
  2. Peter_John

    We CHADEMA, umepiga pigaje hapo!?

    Sawa kabisa vipi na kuhusu kufanya usafi kwa wanajeshi na polisi ,usafi ambao uliratibiwa na Amiri jeshi mkuu wa mkoa
  3. Peter_John

    Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    Ni kweli Kuna Mtu kawe Kuna Mtu anaishi kawe aliniambia siku za nyuma kidogo kwamba siku hizi kawe Kuna panya wengi sana, Tena yeye alihusisha na Imani za kishirikina ila kwa sumu wanakufa vizuri tu labda ni aina ya sumu unayotumia
  4. Peter_John

    Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

    Umesoma nilicho andika hadi mwisho
  5. Peter_John

    Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Samahani nipo nje ya mada wakuu kwani Leo usafi ulifanyika?
  6. Peter_John

    Ukaribisho

    Karibu sana
  7. Peter_John

    DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

    Daah kweli juzi juzi nilienda Muhimbili nimekaa foleni karibu masaa matatu alafu kaja Mtu tunaona anapitishwa tu daah iliniuma kimtindo
  8. Peter_John

    Joti anayapinga maandamano ya CHADEMA?

    Kumbe ndio huyu wa job true true
  9. Peter_John

    Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

    Be positive sio lazima Mtu afanye kazi Moja ana Kitenge tv , ana maulidkitenge .com nenda kaangalie makampuni yalio sponse Kitenge tv hayo ni baadhi tu ya yanayo fahamika ,je kama ana mashamba kijijini kwao huko analima tutajuaje
  10. Peter_John

    Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

    Aisee kama Kuna jambo la muhimu nililo wahi kukutana nalo humu JF basi hili ni Moja wapo
  11. Peter_John

    Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

    Duuh kwanza pole , ila tuongee ukweli Mtu anashika million 100 bado anashindwa kujenga hata kibanda Cha mill30, Naomba sana Mungu aniepushe na hili "... nikapanga nyumba ya mill 10 natumia hela Hadi ziishe"
  12. Peter_John

    Je, wewe ni Mzaliwa wa Kigoma? Fanya haya ili uraia wako usitiliwe shaka yoyote na wabaya wako

    Inawezekana wameweka nguvu kubwa sana Kigoma kwa sababu ya muingiliano wake na Kongo ukiangalia Kongo ni taifa kubwa na Lina idadi kubwa sana ya watu wanao ingia Tanzania,Mfano wakimbizi Ukilinganisha na muingiliano kati ya Kagera na Rwanda
  13. Peter_John

    Je, wewe ni Mzaliwa wa Kigoma? Fanya haya ili uraia wako usitiliwe shaka yoyote na wabaya wako

    Sija wafanananisha na hamas, halafu ngoja nikwambie kitu hamas unao waona wewe ni magaidi Kuna watu wanaeaona ni wakombozi wao the same hao unaowaona ni wema kwa kua wameishi miaka na miaka Kuna watu wanawaona sio watanzania na bado wanauzalendo na taifa lao la asili hivyo ni Bora wakakae huko...
  14. Peter_John

    Je, wewe ni Mzaliwa wa Kigoma? Fanya haya ili uraia wako usitiliwe shaka yoyote na wabaya wako

    Embu naomba nikujibu mm na nitakujibu kwa kuuliza maswali, Je unafahamu kama kigoma IPo karibu na Kongo?
  15. Peter_John

    Je, wewe ni Mzaliwa wa Kigoma? Fanya haya ili uraia wako usitiliwe shaka yoyote na wabaya wako

    Eti utajiri ni watu, kawachukue M23 na hamas wale pia si watu kawachukue ili waanzishe makazi makazi tupate maendeleo. Yaani hali hii akili ndo tumepewa Bure ingekua tunalipia sijui ingekuaje
  16. Peter_John

    Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

    Nimejizuia kucheka ila nimeshindwa 😂😂
  17. Peter_John

    Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

    Umesema mwenyewe kwamba ni nadra sana kwa kipindi hiko kukuta Binti wa miaka 15 hajaolewa , sasa inamaanisha kwamba walikuepo ambao hawajaolewa ila ni wachache na katika hao wachache mmoja wapo ni Maria mbona ni simpo Job true true
  18. Peter_John

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    Sasa si inabidi nipate eneo then ndo nitafute wataalam waje kupima udongo Kisha nijue kutokana nau udogo huo nalima kitu gani, sababu huwezi kupima eneo la mtu
  19. Peter_John

    CHADEMA Kushirikiana na Jeshi Kufanya Usafi Tarehe 23 na tarehe 24 Ili kuwela mazingira Safi ya Maandamano

    Kuna yule jamaa anapenda ku Comment job true true, hii nayo ni job true true
  20. Peter_John

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

    Habari zenu Wana JF , Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu , nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyo jua Kilimo chetu apa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata gorofani ila sana sana wengi wetu tume zoea kulima ardhini hivyo basi kama Kuna Mtu...
Back
Top Bottom