Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana

Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena

Kwa muda wa miaka sita mfulizo umekuwa miaka ya depression na majuto

1. Kuondoka kwa mdogo wangu kwenye biashara ambayo tulikuwa tukifanya pamoja kumbuka biashara ilikuwa na technology nikamfundisha alivyojua tu sababu hakuwa mdogo wangu kabisa wa dam akawaita dada zake wafungua same business ase mimi nilipata stress mno 2019 mwezi nne ...nilijisikia vibaya kusalitiwa na ndugu nikakataa undugu sababu nilikuwa nampenda ndugu yngu pamoja na kwao koz nilikulia kwao so jambo liliniuma mno nikamua kukataa undugu

2. Mwaka 2020-2021..
China wakafunga corona so nikawa nashindwa kuleta vifaa vya ofisi on time na wafanyakazi wakawa bado wako ofisini kumbuka nilikuwa na madereva wawili wote mishahara laki tano hapo bado watu marketing na account na wengine so two years nikala hasara while depression kali crdb wakawa wanikopa hela nashukuru ila kurudisha kwa shida maana biashara hakuna China wamefunga mtaji ukafa rasmi mwaka 2021 mwezi 6 very depressed nikawaaga wafanyakazi wangu wakilia hawaamini kama ofisi inafungwa nikasepa home Iringa kumuona mama

3. Mwaka 2022.... nikawa nimerudi mjini
Sababu ya uzoefu wa mji nikauza gari yangu nikalipa madeni then nikapiga mishe mishe tena nikapa kama million 30 hivi mkononi na mtoto wa boss mmoja rafiki wa Magufuli akanipa kama 6 million so nikawa na 36 million nikaanza upya biashara mambo safi kabisa.....sijaka kila nikileta mzigo ikawa iko slow sio kama mwanzo hapa sababu nilitafuta wafanyakazi wa bei rahisi sio professional kama wale wa mwanzo

Bomu likaja maza akaanza kuumwa kutokana na maza alikuwa anaumwa moyo pia bahati mbaya my mumy alikuwa HIV positive ..so alipigwa stroke kisha wakachelewa kumuokoa so aka palalaizi mwili kwetu mimi ndo mwenye hela nikaanza kutuma hela kaka zangu wahuni wakawa wanakula tu hela

Sababu mama ni HIV positve hali kutoka kupalalaizi ikaenda hadi AIDS mimi niko town dada sijui mama kafika stage ya AIDS ...

Bad new dada angu nae aliugua ghafla nikatuma hela zimsaidie ila ndugu zang wakawa wanakula dada angu kipenzi akafa wakati mama akiwa hoi chini AIDS.....nikaenda msiba wa dada Iringa kufika nakuta mama yupo AIDS sijawahi lia kama mwanaume kama vile mama akaniangalia akisema usijali nitapona akamuulizia dada mbona haji kumuona tukasema kasafiri tulimficha maza hili swala mwezi huo maza akafariki 2022 gharama za msiba zote nikasimamia pamoja ndugu walitoa kidogo depression ikaendelea tena kwa kasi biashara ikangua tena sababu ubungo ulipata mapigo mawili ndani ya mwezi mmoja misiba miwili

4. BReak up 2023
Nikarudi town again toka Iringa biashra ikiwa na mtaji mdogo sana sasa nilikuwa na msichana wangu nilikaa nae almost 5 years kashazoea boss ashampoo business ikayumba niliona rangi ambazo sijawahi ona kuna uzi niliwahi andika hapa asee dem alibadilika sijawahi ona akapata lijamaa lipo bandarini asee plus depreession ya misiba mara break up kwani hata biashara nilifanya nikafunga nikachukua million 10 ...nikapanga nyumba mpya nikawa sifanyi kazi yeyote zaid ya kula na kulala hadi hela ikaisha.

So 2024 nimejifunza mengi miaka hiiyo pia no niko age 32 so sina mtoto wala mke na sina mpango.

2024
Iringa sehemu gani pengine tunafahamiana!! hujaeleza kuhusu Baba yako alipo,au alifariki kabla ya Mama? na hao madereva wawili uliokuwa unawalipa Mshahara wa Laki Tano kwa mwezi huoni ulikuwa mshahara mkubwa sana?
 
Take your time it's marathon brother.

Skia mkuu wewe kimbiza achana na MALAYA kaka Malaya anapenda hela yako na sio mwili wako wala moyo wako.

Malaya ni zaidi ya mchawi asee.
 
Kilichokukatizha tamaa mainly ni vitu vitatu

1. Ni kifo cha mama, uwepo wa mzazi hutufanya tupambane sana ili tuendelee kumpa vilivyo vizuri. Akitoweka unaanza pata mawazo nahangaikia nani kama kipenzi hayupo

2. Ndugu zako, katika hii anguka amka, anguka amka kuna sehemu ilifika wanakuonesha Dharau hawakupi heshima kama ya awali, ukiliwazia hili unaona umesalitiwa, umenyonywa kinachofuatia ni kupoteza ari (morale) ya kuendelea kuchechemea kusonga mbele

3. Ni mpenzi wako, hawa nao hutupa push ya kuamka kitandani, hutufanya tutafute zaidi hasa pale unapowaza atakula nini? Atasukia nini? Atavaa nini?
Mtu wa aina hii akitoka katika mfumo wa maisha yako ile ari ya kutafuta inashuka pia.

USHAURI WANGU KWAKO

1. Upepo wa biashara ni mbaya, biashara nyingi maelf kwa maelf zinayumba na kufungwa toka Zuchu achukue himaya pale Tandale country hela zimekuwa ngumu. nina rafik yangu alikuwa na biashara zaid ya 300m katika .zunguko huwez amin kwa sasa anashindwa kulipa mishahara wafanyakaz wake.

Point kuu hapa usione upo peke yako, ni hali ya watu wengi sema kila mtu anaendelea kurusha mbawa kuona namna anaweza songa mbele

2. Hakikisha unapopata mafanikio usibaki na biashara moja, kuwa na projects zaidi ya tatu. Amini mimi ukianza kuanguka kama hivi kuna kiprojects kitakubeba kidogo kidogo na kukurudisha kwenye msitari. Biashara zoote haziwe kufa kwa mara moja.

Mfano wakati una hela ungekuwa una mashamba unalima, yangekupa push wakati wa mavuno, au wakat una hela ungekuwa umenunua mbuzi wako wa kutosha na kuwatunza katika eneo fulani, leo ungeenda kuwauza na wakakupa back up

Katika kufanikiwa kuna kuanguka na kujikwaa kwingi sana,

Mvumbuzi wa bulb ya umeme mwamba alifeli zaidi ya mara 60, but akaendelea kuwa king'ang'anizi na akatoboa

KFC Ukifuatilia mafanikio yake hadi sasa alisha anguka, alisha dhalilika sana, ila kakomaa leo kafika alipo

Nina vingi vya kusema ila nimalize kwa kusema, anguka mara 7 amka mara 8. Usikate tamaa, usiathirike na ile aibu ya wananionaje ndugu, mtaani, waliokuwa wananifahamu n.k

Niambie hadi sasa umebaki na salio la kias gani nione au wadau wanaweza kukushauri cha kufanyia hiyo hela ili uendelee kupambana na sio kukata tamaaa.

Call me Maaaaagala. Am out.
Mkuuu hili swala nimechukua kwa uwezo mkubwa sana hujui tu jinsi gani nimesoma hii maseji kwa umakini mkubwa sana....

Asante sana mkuuu
 
Nilichogundua wewe pamoja na kujifanya mfanyabiashara hujui principles za biashara! " business is different entity from the owner" yaani "biashara inasimama peke yake kutoka kwa wamiliki" sasa wewe unaleta shida za ndugu zako na watu wako kwenye biashara? Biashara lazima ife! Unaleta mahitaji ya dada, mama, girlfriend, huruma, n.k kwenye biashara? Biashara lazima ife! Mfanyabiashara hutumia faida inayotokana na biashara kushughurikia changamoto za mwenyewe biashara! Sasa wewe unatumia mtaji kushughurikia changamoto za ndugu! Kalaghabao!
Ni kweli mkuuu umeongea point ila omba tu usiwe tegemezi kwenu maana una baba wa familia... mfano nikikuba gharama za mgonjwa wa kupalalaizi kumbuka hawa huuugua muda mrefu bila bima kama umetokea familia ya chini chagua biashara au mgonjwa afe .

Ambulance gharama zake maaana wagongwa hawa hupata bed sores vidonda vya kulala muda mrefu so atahitaj gari maalumu sio gari tu ambulance kama akizidiwa

Sasa piga hesabu 8 month mgonjwa aliumwa.... so kibiashara hapa ilibidi nichague kuokoa maisha au biashara ..bahat mbaya nikashindwa vyote ....

...pia nashukuru sana kwa ushauri wako nimeumchukua next time company yangu sito chota hela nyingi kusolve problems private inshort kama ulivyosema
 
Nilichogundua wewe pamoja na kujifanya mfanyabiashara hujui principles za biashara! " business is different entity from the owner" yaani "biashara inasimama peke yake kutoka kwa wamiliki" sasa wewe unaleta shida za ndugu zako na watu wako kwenye biashara? Biashara lazima ife! Unaleta mahitaji ya dada, mama, girlfriend, huruma, n.k kwenye biashara? Biashara lazima ife! Mfanyabiashara hutumia faida inayotokana na biashara kushughurikia changamoto za mwenyewe biashara! Sasa wewe unatumia mtaji kushughurikia changamoto za ndugu! Kalaghabao!
Wengi hawajui biashara eti "natuma hela wamuuguze mama"biashara ni biashara na undugu ni undugu hivi vitu havikai pamoja
 
Dah i feel you .
Simama tena rafiki bado ni mdogo na dunia bado inahitaji mimi na wewe tujenge historia .

Simama mnyalu , magumu yapo na hayatakwisha tizama ulichonacho mnyalu simama tuendeleze mapambano .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana

Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena

Kwa muda wa miaka sita mfulizo umekuwa miaka ya depression na majuto

1. Kuondoka kwa mdogo wangu kwenye biashara ambayo tulikuwa tukifanya pamoja kumbuka biashara ilikuwa na technology nikamfundisha alivyojua tu sababu hakuwa mdogo wangu kabisa wa dam akawaita dada zake wafungua same business ase mimi nilipata stress mno 2019 mwezi nne ...nilijisikia vibaya kusalitiwa na ndugu nikakataa undugu sababu nilikuwa nampenda ndugu yngu pamoja na kwao koz nilikulia kwao so jambo liliniuma mno nikamua kukataa undugu

2. Mwaka 2020-2021..
China wakafunga corona so nikawa nashindwa kuleta vifaa vya ofisi on time na wafanyakazi wakawa bado wako ofisini kumbuka nilikuwa na madereva wawili wote mishahara laki tano hapo bado watu marketing na account na wengine so two years nikala hasara while depression kali crdb wakawa wanikopa hela nashukuru ila kurudisha kwa shida maana biashara hakuna China wamefunga mtaji ukafa rasmi mwaka 2021 mwezi 6 very depressed nikawaaga wafanyakazi wangu wakilia hawaamini kama ofisi inafungwa nikasepa home Iringa kumuona mama

3. Mwaka 2022.... nikawa nimerudi mjini
Sababu ya uzoefu wa mji nikauza gari yangu nikalipa madeni then nikapiga mishe mishe tena nikapa kama million 30 hivi mkononi na mtoto wa boss mmoja rafiki wa Magufuli akanipa kama 6 million so nikawa na 36 million nikaanza upya biashara mambo safi kabisa.....sijaka kila nikileta mzigo ikawa iko slow sio kama mwanzo hapa sababu nilitafuta wafanyakazi wa bei rahisi sio professional kama wale wa mwanzo

Bomu likaja maza akaanza kuumwa kutokana na maza alikuwa anaumwa moyo pia bahati mbaya my mumy alikuwa HIV positive ..so alipigwa stroke kisha wakachelewa kumuokoa so aka palalaizi mwili kwetu mimi ndo mwenye hela nikaanza kutuma hela kaka zangu wahuni wakawa wanakula tu hela

Sababu mama ni HIV positve hali kutoka kupalalaizi ikaenda hadi AIDS mimi niko town dada sijui mama kafika stage ya AIDS ...

Bad new dada angu nae aliugua ghafla nikatuma hela zimsaidie ila ndugu zang wakawa wanakula dada angu kipenzi akafa wakati mama akiwa hoi chini AIDS.....nikaenda msiba wa dada Iringa kufika nakuta mama yupo AIDS sijawahi lia kama mwanaume kama vile mama akaniangalia akisema usijali nitapona akamuulizia dada mbona haji kumuona tukasema kasafiri tulimficha maza hili swala mwezi huo maza akafariki 2022 gharama za msiba zote nikasimamia pamoja ndugu walitoa kidogo depression ikaendelea tena kwa kasi biashara ikangua tena sababu ubungo ulipata mapigo mawili ndani ya mwezi mmoja misiba miwili

4. BReak up 2023
Nikarudi town again toka Iringa biashra ikiwa na mtaji mdogo sana sasa nilikuwa na msichana wangu nilikaa nae almost 5 years kashazoea boss ashampoo business ikayumba niliona rangi ambazo sijawahi ona kuna uzi niliwahi andika hapa asee dem alibadilika sijawahi ona akapata lijamaa lipo bandarini asee plus depreession ya misiba mara break up kwani hata biashara nilifanya nikafunga nikachukua million 10 ...nikapanga nyumba mpya nikawa sifanyi kazi yeyote zaid ya kula na kulala hadi hela ikaisha.

So 2024 nimejifunza mengi miaka hiiyo pia no niko age 32 so sina mtoto wala mke na sina mpango.

2024
Duuh kwanza pole , ila tuongee ukweli Mtu anashika million 100 bado anashindwa kujenga hata kibanda Cha mill30, Naomba sana Mungu aniepushe na hili

"... nikapanga nyumba ya mill 10 natumia hela Hadi ziishe"
 
Kilichokukatizha tamaa mainly ni vitu vitatu

1. Ni kifo cha mama, uwepo wa mzazi hutufanya tupambane sana ili tuendelee kumpa vilivyo vizuri. Akitoweka unaanza pata mawazo nahangaikia nani kama kipenzi hayupo

2. Ndugu zako, katika hii anguka amka, anguka amka kuna sehemu ilifika wanakuonesha Dharau hawakupi heshima kama ya awali, ukiliwazia hili unaona umesalitiwa, umenyonywa kinachofuatia ni kupoteza ari (morale) ya kuendelea kuchechemea kusonga mbele

3. Ni mpenzi wako, hawa nao hutupa push ya kuamka kitandani, hutufanya tutafute zaidi hasa pale unapowaza atakula nini? Atasukia nini? Atavaa nini?
Mtu wa aina hii akitoka katika mfumo wa maisha yako ile ari ya kutafuta inashuka pia.

USHAURI WANGU KWAKO

1. Upepo wa biashara ni mbaya, biashara nyingi maelf kwa maelf zinayumba na kufungwa toka Zuchu achukue himaya pale Tandale country hela zimekuwa ngumu. nina rafik yangu alikuwa na biashara zaid ya 300m katika .zunguko huwez amin kwa sasa anashindwa kulipa mishahara wafanyakaz wake.

Point kuu hapa usione upo peke yako, ni hali ya watu wengi sema kila mtu anaendelea kurusha mbawa kuona namna anaweza songa mbele

2. Hakikisha unapopata mafanikio usibaki na biashara moja, kuwa na projects zaidi ya tatu. Amini mimi ukianza kuanguka kama hivi kuna kiprojects kitakubeba kidogo kidogo na kukurudisha kwenye msitari. Biashara zoote haziwe kufa kwa mara moja.

Mfano wakati una hela ungekuwa una mashamba unalima, yangekupa push wakati wa mavuno, au wakat una hela ungekuwa umenunua mbuzi wako wa kutosha na kuwatunza katika eneo fulani, leo ungeenda kuwauza na wakakupa back up

Katika kufanikiwa kuna kuanguka na kujikwaa kwingi sana,

Mvumbuzi wa bulb ya umeme mwamba alifeli zaidi ya mara 60, but akaendelea kuwa king'ang'anizi na akatoboa

KFC Ukifuatilia mafanikio yake hadi sasa alisha anguka, alisha dhalilika sana, ila kakomaa leo kafika alipo

Nina vingi vya kusema ila nimalize kwa kusema, anguka mara 7 amka mara 8. Usikate tamaa, usiathirike na ile aibu ya wananionaje ndugu, mtaani, waliokuwa wananifahamu n.k

Niambie hadi sasa umebaki na salio la kias gani nione au wadau wanaweza kukushauri cha kufanyia hiyo hela ili uendelee kupambana na sio kukata tamaaa.

Call me Maaaaagala. Am out.
Aisee kama Kuna jambo la muhimu nililo wahi kukutana nalo humu JF basi hili ni Moja wapo
 
Safi...nyanyuka bro...yalinitokea bt..sikuwah kata tamaa...ninacho shukuru Mungu...nina afya njema...100M kuitafuta sio kaz kwa mpambanaji
 
Toa experience ulinyanyukaje ndugu, kuoitia uzoefu ndio shule na chuo sahihi kuliko PhD za darasani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom