Search results

  1. Canabian Rasta

    Natafuta Michongo nje ya nchi

    Habari WanajamiiForums, Ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko. Pia wadau mlio Paris, Berlin, Amsterdam, London, Madrid, Instabul n.k pia ninaomba maoni yenu kuhusu kazi...
  2. Canabian Rasta

    How is your private parts status

    New.[emoji682] Used.[emoji48] Damaged.[emoji17] Only for business.[emoji389] Closed.[emoji613] Opened & free.🦾 Under maintenance. [emoji616] Opening soon. [emoji776] For VIP. [emoji41] For everyone.[emoji2222] Dangerous .[emoji3517] ……Others.
  3. Canabian Rasta

    Tuwakumbuke kwa nyimbo

    Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake. Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi… Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako. Warning!! zingatia...
  4. Canabian Rasta

    Je, umewahi kujikuta unatokea kupenda watu wawili wakati mmoja?

    Moyo unachanganya sana, unaweza ukawa na mtu sahihi lakini ghafla ukanza kivutiwa kimapenzi na mtu mwingine uliyekutana nae au kuzoeana nae, inaweza kutokea popote pale, mimi yalinikuta na ntashare kisa changu chini.
  5. Canabian Rasta

    Maisha yanatesa mno…, ukiona unafurahi basi kuna watu wako nyuma yako wanatesekea

    Dunia sio…, Maisha yanatesa mno…, ukiona unafurahi basi kuna watu wako nyuma yako wanatesekea furaha yako leo…, siku na wao wakifurahi basi furaha yako itakatishwa kama sio kudhoofika..,. Maisha yanatesa, ile furaha ya kuona wanawake wakiwa na mimba, kwa sasa naona ni laana. Unazaa!! For what...
  6. Canabian Rasta

    Huwa unawamudu vipi wateja wapenda punguzo?

    Inafika wakati biashara inakatisha tamaa, kuna hawa wateja wanao penda kupunguziwa kila kitu asee wanakera. mtu anakuja dukani anaulizia karibu kila bidhaa ukimtajia bei utasikia…….., Duh! We unabei sana! Mbona wenzako wanauza bei nafuu! Punguza bei nimekuja kukuchangia! Tuuzie kama unauza sio...
  7. Canabian Rasta

    Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

    Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy. No offens. Madogo yakujifinya Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui...
  8. Canabian Rasta

    Jambo gani/kitu gani ambacho kinakunyima raha ndani yako lakini nje watu wanakuona unafaidi sana?

    Mi naanza na BIASHARA, hii kitu inanitesa sana kupita kiasi, japo mungu kanijalia kua na vitega uchumi vyangu zaidi ya vitatu ila vinanitesa mno, kuanzia ulinzi, usimamizi, hasara, faida kiduchu, kulipa wasaidizi n.k lakini kuna watu nje hunipongeza na wengine husema ninabahati sana kua na hivi...
  9. Canabian Rasta

    Vita kati ya Israel na Hamasi juu ya ardhi ya Palestina inanikumbusha marehemu Hamza

    Ikiwa sasa imepita takribani masiku zaidi ya thelathini ya kushindana kumwaga damu za wasio na hatia kwa pande zote, basi nimekua nikifatilia na kutafakari jinsi haki inavyotafutwa hasa kwa hii style ya jeshi la HAMASI kupambana na ISRAEL. Mawazo yamenifanya nimkumbuke kamanda jasiri marehemu...
  10. Canabian Rasta

    Anguko la falme ya kiume na jinsi ya kuirejesha

    Warning, huu uzi ni special kwa wanaume tu. Wazee, nawasalimu popote mlipo kwenye maangaiko ya kujitafutia, Mungu atubariki na atuongezee rikizi zetu kwenye hii dunia ya majaribu. Wanaume wenzangu, ivi mnajua sisi ndo chaguo namba moja “1” la miungu yote ya hapa Duniani hadi Mungu wa...
  11. Canabian Rasta

    Nina-enjoy kumtukana mke wangu wakati wa tendo

    Nimegundua mapenzi yana mapana yake na ukizama kwa kina utagundua kila mtu ana namna yake yakufurahia mapenzi, Mimi sio mjuzi sana kwenye secta yamahaba nachojua zaidi ni majukumu yangu kama baba ndani ya familia. Sasa wanasema ukishangaa ya mussa utayaona ya filauni, kwakifupi haikua kawaida...
  12. Canabian Rasta

    Nijitibu vipi addiction ya soda?

    Wakuu, wakubwa kwa wadogo naomba kujua madhara nitakayopata kwa unywaji wa soda, nimekua kama teja, kuna wakati nanunua majiyakuywa na soda pembeni yan kwanza nakuywa soda nikiridhika ndo nakuywa maji kidogo. Nilianza kwa kuywa soda chupa moja wakati wa mchana tuu saivi naweza kuywa mara3 kwa...
  13. Canabian Rasta

    Nahitaji kuanzisha biashara ya vyuma chakavu

    Habari wana BUU, kwenye harakati za kujikomboa kiuchumi mwenzenu nimepata idea yakufungua biashara ya kununua na kuuza vyuma chakavu. Natamani kujua; *Faida yake iko vipi? *Hasara ipo angle ipi? *ghalama za leseni? *vifaa gani ni muhimu kua navyo. Mtaji nilopanga kuinvest ni 3M tu. Naomba...
  14. Canabian Rasta

    Hivi Polisi wanaruhusiwa kufuga ndevu?

    Habari wana jf, Kwenye harakati za kuzidi kujipatia kipato nimejikuta nimepata partner ambae tutasaidizana kuchukua mzigo mkoa X to mkoa X, hii biashara nimekua nikifanya muda ila saivi ninachangamoto ya mtaji, biashara yenyewe sio haramu ila njia nazotumia kuufikisha sokoni ndo haramu (nakwepa...
Back
Top Bottom