We usimchangie au umchangie maiti haina shida na mchango wako, mtu akishakufa hana kauli tena kwaiyo mliobakia ndo mtafanya maamuzi izo sio shida zake ye keshamalizana na Dunia.
Habari WanajamiiForums,
Ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko.
Pia wadau mlio Paris, Berlin, Amsterdam, London, Madrid, Instabul n.k pia ninaomba maoni yenu kuhusu kazi...
Nafikiri kuna misconception kidogo kati yako na icho alichojaribu kukieleza ndugu CAG. Kwa mawazo yangu nahisi alielezea theway watu walio nje ya mfumo usio rasmi na watu walio ndani ya mfumo rasmi, policy ya bima kwa wastaafu nadhani haiko kwenye mfumo rasmi ndani ya mfuko ndo maana inaonekana...
Zanzibar ni mrembo aliepata bwana mwenye pesa na anamkemesha vizuri af tanganyika ndo msela anayeforce kudate na mrembo ambae sio size yake ndo maana tunaishia kudhaurika kila tukikanyaga huko
Ndoa hata sio ayo uloyataja, apo umetaja mapenzi ya mtu binafsi kwa mtu wake, ndoa ni jambo kubwa sana na muhimu kwa maisha yetu kama wanadamu kama mtu ukilielewa. Kwa zama hizi ni kheri mtu usioe na wala usiolewe, maana hakuna mwanaume wala mwanamke anayejielewa kuishi ndani ya utakatifu wa ndoa.
Duh kweli mtu ukitaka kuoa omba mungu sana, tupo kwenye zama ambazo mwanaume ndo anathamin mwili wa mwanamke wake kuliko mke mwenyewe anavyojithamini, yani unawezaje kufanyiwa ivo na mtu then ukawa normal tu! Ni kutokujua haki yako, kupenda kufanyiwa, au kutothamini utu binafsi, au utoto!
As...
0-15 (balekh) = mtoto > kijana mdogo
15-30 = kijana mdogo > kijana mkubwa
30-40 = kijana mkubwa > mtu mzima
40-50 = mtu mzima > uzee
50-60 = uzee > uzee wa makamo
60-80 = uzee wa makamo > ajuza
0-15
ni mtoto sababu hajabalekh so hajui chochote.
15+
Sio mtoto ni kijana sababu anauwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.