the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,640
- 3,120
Anatania kama ndumbaru😅Tatizo la Black mamba hajui kama unafanya usamaria unampeleka kwenye makazi yake.
Lazima akunyime ushirikiano
Anatania kama ndumbaru😅Tatizo la Black mamba hajui kama unafanya usamaria unampeleka kwenye makazi yake.
Lazima akunyime ushirikiano
Ukifa mke wako ataolewaa tuUrafiki na nyoka tuwaachie wazungu. mimi akijichanganya hata kwa bahati mbaya akipona basi akaokoke kabisa. haijarishi ni nyoka wa aina gani nina matukio kadhaa ya hawa nyoka hawafai kabisa hata kidogo japo ni wapole mno ukimkuta katika hali yake ya kawaida Ole wako umkute kavukrugwa au umvuruge yangu ni hayo wewe kama unapendas manyoka kaishi porini lkn sio uraiani huku kufa atakufa tu kwa njia yoyote ile
Na wanatabia akiwa anapitaga hapo au kuota jua saa3 basi kila siku muda huohuo utamkuta ole wako umletee usubufu wowote
Kweli mkuu? basi heri nisifeUkifa mke wako ataolewaa tu
Yule mwamba wa snake in the city huwa anawakamata kilaini kabisa. Katika maisha yangu ya utoto ya kwenda vichakani na kupanda mikorosho nilishawahi kukutana na green mamba mwenye ukubwa unaolingana na huu.
Kwa akili za wabongo huyu nyoka amepondwa sana na mawe na magongo
Kama una Azam au Dstv angalia Nat Geo wildMkuu si ungetupa link tukamcheki
Yule mwamba ana skill za kutosha pia ni jasiri, japo sometime pia huwa hadi anatetemeka anapoyakamata madubwana makubwa kama hili.Mkuu si ungetupa link tukamcheki
Kwenye RECORD ni mita 6 hapaMkuu sema hii mashine heavy siunaona ni zaidi ya. Mita 10 huyo
Kuamkamata hyu ipo kazi
Mkuu Tabora wapo wengi ila epuka sana story za humu nyingi ni fix tu.Ushuhuda wa watu wengi ni kwamba walishamuona ila kiuhalisia ni uongo.Huyu nyoka haonekani ovyo kabisa unaweza kumaliza hata miaka kumi ukawa umemuona mara moja tu.Na wenye bahati ya kumuona zaidi ni wachungaji wa ng'ombe.Linatisha hili dubwana, afu ni mkubwa kweli.
Kumbe tz yapo haya madude.
Najaribu kufikiria wamemuuaje huyu deadly snake mkubwa kiasi hiki maana hata mtu mwenye skills kwa mazingira na ukubwa wake huyu kiumbe nadhani angemtoa jasho.
JAMAA PROFESSIONAL YULE..Yule mwamba wa snake in the city huwa anawakamata kilaini kabisa. Katika maisha yangu ya utoto ya kwenda vichakani na kupanda mikorosho nilishawahi kukutana na green mamba mwenye ukubwa unaolingana na huu.
Kwa akili za wabongo huyu nyoka amepondwa sana na mawe na magongo
Nasikia ana kisasi unaweza mrudisha akarudi kulipiza.Tatizo la Black mamba ye hajui kama unafanya usamaria unampeleka kwenye makazi yake.
Lazima akunyime ushirikiano
Bora iwe hivyo mkuu maana kwa stor ninazozisikia kama ingekuwa kweli basi kungekuwa na vifo vingi sana kila siku. Awe tu adimu kuonekana na watu maana hafai kuwa karibu na watu huyu kiumbe.Mkuu Tabora wapo wengi ila epuka sana story za humu nyingi ni fix tu.Ushuhuda wa watu wengi ni kwamba walishamuona ila kiuhalisia ni uongo.Huyu nyoka haonekani ovyo kabisa unaweza kumaliza hata miaka kumi ukawa umemuona mara moja tu.Na wenye bahati ya kumuona zaidi ni wachungaji wa ng'ombe.
Nina mwanamke uramboMkuu Tabora wapo wengi ila epuka sana story za humu nyingi ni fix tu.Ushuhuda wa watu wengi ni kwamba walishamuona ila kiuhalisia ni uongo.Huyu nyoka haonekani ovyo kabisa unaweza kumaliza hata miaka kumi ukawa umemuona mara moja tu.Na wenye bahati ya kumuona zaidi ni wachungaji wa ng'ombe.
Eti jamani 🤔Siku moja tulikuwa site maporini huko tunafanya survey, ghafla tukakutana naye
Bahati nzuri tulikuwa na Wazee Fulani wa Kimila, walitema mate Chini ghafla yule Koboko akageuza njia haraka kutupisha na kutokomea maporini zaidi 🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule mwamba wa snake in the city huwa anawakamata kilaini kabisa. Katika maisha yangu ya utoto ya kwenda vichakani na kupanda mikorosho nilishawahi kukutana na green mamba mwenye ukubwa unaolingana na huu.
Kwa akili za wabongo huyu nyoka amepondwa sana na mawe na magongo
Mkuu huamini?Eti jamani 🤔