Search results

  1. Interlacustrine R

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Siyo lazima kila Mteja anunue bidhaa ya kukaa nayo muda mrefu, Mteja anaweza kununua Yutong Bus kwa bei elekezi akaizungusha kibiashara baada ya miaka mitano akapata Yutong Buses 2, ana hasara gani hapo ukichukulia Wateja wengine hupendelea kubadili badili bidhaa kila wakati kuliko kudumu na 1...
  2. Interlacustrine R

    Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Maniga ya USA yana ubaguzi kiwango cha juu kuliko hata yale ya SA, kibaya zaidi hufanyiana ubaguzi yenyewe kwa yenyewe ila si kwa Mzungu. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  3. Interlacustrine R

    Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Mbona utabiri mbaya sana huu Ndugu, kulikoni hadi iwe hivyo? Mungu amlinde, Amina. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  4. Interlacustrine R

    Viumbe wanaotumika katika kafara za kitiba na mafanikio

    1. Jogoo mweusi mbona simwoni hapo? Afu tangu niumbwe duniani sijawahimwona [emoji4] 2. Kuna uhusiano gani kati ya viumbe hivi "bundi, popo, njiwa, paka, nyoka, fisi, mende, mijusi" na ushirikina? Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  5. Interlacustrine R

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Makiseo nitakuchapa acha fujo haraka [emoji1787] Cha ajabu zaidi ni kipi hapo sasa, hujawahiona ajali zitokeazo kila siku za magari lakini bado tu Watu hununua na kupambania ndoto hizo hizo za kumiliki magari[emoji848] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  6. Interlacustrine R

    Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

    Ametusemea vizuri sana blood group O isipokuwa kuna kenge wapo wenye roho za vijiba wamepovukwa humu balaa [emoji28] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  7. Interlacustrine R

    Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

    Group 0 negative tuna changamoto za damu kuwa chache sababu lina Watu wachache sana duniani. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  8. Interlacustrine R

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Acha roho mbaya Mkuu, sisi Ma-Lecture tukapone wapi sasa [emoji848][emoji16] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  9. Interlacustrine R

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Uzuri au ubovu wa Ke upo machoni pa Mtu mwenyewe. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  10. Interlacustrine R

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Napinga vikali sana, wapo Me wasiotafuna Ke za Watu ila Ke zao huliwa sana nnje ya ndoa...[emoji847] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  11. Interlacustrine R

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Maslow's needs theory, "love and belongingness" Nimepania kula toto bichi bichi chuoni [emoji39] Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  12. Interlacustrine R

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    We si ulikuwa Mwenyekiti wa CHAPUTA, unadhani tulikukabidhi uenyekiti kwa bahati mbaya? Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  13. Interlacustrine R

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Me tuishi ki-sungura sungura (akili) kwenye ndoa la sivyo kuwaamini Ke kimahusiano 100% ni kujitafutia vifo vya mapema kabla ya tarehe tulizoandikiwa na Mungu. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  14. Interlacustrine R

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Maisha hayajawahi kupangiwa na Binadamu isipokuwa maisha hutupangia Binadamu jinsi yalivyokuwa/yanavyokuwa/yatavyokuwa maana kila kitu kilishapangwa duniani hata kabla Binadamu hatujazaliwa. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  15. Interlacustrine R

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Kwa ujumla [emoji777] Kiujumla [emoji736] Kwa ujumla = Kijiji, mtaa, mji wa Mtu au stendi ya daladala. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  16. Interlacustrine R

    Namna ya kupata furaha ya kudumu

    Kanuni ni ile ile kujipenda mwenyewe kabla ya kupendwa na Mtu au kumpenda Mtu mwingine. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  17. Interlacustrine R

    Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

    Hata Ke wa 1920-1980 walikuwa wanaomba sana pesa na kunyaduliwa nnje kwa siri isipokuwa Ke wa 2000s wanaumbuka sababu ni utandawazi. Ke azae kwa uchungu = Apewe matunzo na Me.. Me ale kwa jasho = Awajibike kimatunzo kwa Ke na Watoto. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  18. Interlacustrine R

    Unawajua Wanyama wasiolea watoto wao

    Ingekuwa inawezekana kinyonga kukata rufaa angekata kwa Muumba awe tasa asizae mazima Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  19. Interlacustrine R

    Umoja wa Ulaya kuchunguza uraibu katika Instagram na Facebook

    Akina Juniors mtapata tabu sana na uraibu wenu. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
  20. Interlacustrine R

    Ndoto hizi zimenichosha

    Manabii wa mchongo na Waganga wa kienyeji changamkieni dili hili [emoji1] NB: Funga kwa imani yako thabiti ukatae hizo ndoto na hakika hazitakurudia tena. Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Back
Top Bottom