Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

Mnajidanganya....

Mimi nafanya kazi hospitali, wengi wanaokuja kutibiwa ni Group O, na wanakuja wamezidiwa vzr tu.

Kwa taarifa yenu, kwa wiki tunaowaongezea damu 90% ni Group O.

Kwanza Group O ndiyo wengi zaidi duniani. Hivyo wagonjwa unaowaona hospitali yoyote ile, jua 90% wana Group O.
View attachment 2993187
Group 0 negative tuna changamoto za damu kuwa chache sababu lina Watu wachache sana duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Uko sahihi kwa 100% kwani GENTAMYCINE mwaka 2012 nililala na Wanawake Watatu Wawili sikujua kama wana Dally Kimoko ( UKIMWI ) mpaka nilipopima nao baada ya Kuwaandua na Mmoja nilijua kabisa ila kwakuwa alikuwa na Kalio Kubwa sijapata kuona Afrika nzima ( Ugonjwa wangu Tukuka huo ) nikajilipua na bahati nzuri au mbaya huwa sivai na sitokuja kuvaa Condom lakini nilipima sehemu zote zenye Vipimo sahihi na vya Kimataifa sina Maambukizi hadi hii Leo.

Ndipo baadae Daktari Mmoja akaniambia kuwa Mimi kupata UKIMWI ( DALLY KIMOKO ) ni ngumu kwakuwa Kwanza nina Damu ya Kundi O lakini pia nina Asthma ambayo ina nguvu ya Kupambana na Virusi vya HIV. Kwa ninavyojijua isingekuwa Mimi kutokuwa na Kundi la Damu ya O hivi sasa JamiiForums hii ningekuwa naisikia Kaburini tu Kudadadeki.
Damu group O ndio watoto vipenzi vya sir God

Red eyes sijawai kuumwa na sitawai kuumwa, na wengi wa group O ninaowajua hawakuwai kuupata huu ugonjwa

Corona ata ije ata Mara 100, group O tutatoboa

HIV hana jeuri kuingia Hili group O abadani
 
Back
Top Bottom