Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Nimehitimisha ✍️...... Kwa hizi comment bas mchumba wangu anachapwa Kama ngoma huko alipo😔😔

Na hesabu haipandi, juz ananiambia kasap..... Kuna mida nikawa napiga cm usiku hashiki😂😂😂😂

Dah hii Dunia hii, na ndo mke mtarajiwa🤔🤔

(Note: Anasoma Diploma 👉MUM
 
IMG_20240518_170643.jpg

kama yupo hivi andika maumivu
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Mkuu niozeshe mie fasta mimba anaenda chuo na tunda tumboni hawezi kufanya uhuni . Nipe niwe shemejio
 
1: mnunulie iPhone latest kuanzia 13 pro max..aanze kuitumia sasa hivi aizoee apunguze shobo nayo, hapo utakuwa umepunguza kundi kubwa sana la vijana wahuni ambao wangemsumbua

2..andaa budget ya 5000 ya juu kila siku ukiachana na pesa ya bumu. Hapo ushawaweza wahuni wengi sana pia

3. Kama upo dsm hakikisha sehemu muhimu za vijana kama mcity, koko, na maeneo maeneo yote muhimu unaanza wewe kumtembeza kabla hajaenda chuo..
Itakusaidia sana.

4.Hakikisha unampa ukweli mapema sana yani mapema sana sasahivi juu ya maisha ya hayo maeneo.

5.Mtemgenezee mazingira boyfriend wake atakayekuwa naye chuo umjue. Kutana naye sometimes wakiwa wote na outing ndogo ndogo..hii itamfunga yeye na mtu atakaye kuwa anadate naye kisaikolojia atashindwa kuruka ruka.
 
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.

Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?

Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.

Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Mwache mtoto akachapwe nao. Wewe si ulichapa watoto wa wenzio!? Na naombea apigwe mtungo wa nguvu na njemba 6 za Mabibo Hostel zenye mijorosho mikubwa. Kataa Ndoa, Umiza Mwanamke
 
Back
Top Bottom