Search results

  1. de Gunner

    Wazee wa kujibrand na kujimwambafy: Unaomba namba ya simu unambeep na kuifuta papo hapo

    Hatari sana 🤣🤣 madhara ya kuruka stage
  2. de Gunner

    Maisha Bwana!😂 😂 😂

    Mkuu umewaza nini? 🤣 maisha hayana formula
  3. de Gunner

    Kwa kweli inasikitisha sana tulipofikia

    Umeongea ukweli mchungu na ngumu kumeza kwa watu wengi. Ni wajibu wa kila mtu mwenye utimamu wa akili kumtengenezea mwanae njia sahihi na yenye manufaa kwa maisha yake ya baadae. Angalia mwanao anauwezo gani asome primary mpk high-school maana atapata basics baada ya hapo anatakiwa aangalie...
  4. de Gunner

    Sixth sense Generation (6th sense gen)/ kizazi Cha mlango wa fahamu wa sita

    Nikajua umekuja na nondo kali mkuu, kumbe 6th sense ni self-love. Thanks for your article.
  5. de Gunner

    Nimefanya maamuzi magumu naomba msaada hapa

    Emb fikiria vizuri mkuu. Unataka kufuga na unasema huna pa kuwaweka sasa utafuga kweli? Seriously nimecheka sana.
  6. de Gunner

    Unawezaje kubadilisha maisha yako Daima??

    Sasa unataka kubadili nini? Mbona kama haueleweki hivi?
  7. de Gunner

    Naomba msaada tafadhali

    Cha kufanya hapo rudi kwa mkeo, achana na mchepuko we jali watoto ulozaa naye hakikisha wanapata mahitaji ya msingi. Usijiroge kumfungulia biashara utapigwa pesa bure, kama hajui maisha ataweza biashara?
  8. de Gunner

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Duuh watu wanampatia hasira tu... Skia najua maumivu uliyonayo kama kaka ake, ila tambua hulka ya mtu haibadilishwi kikubwa fanya maongezi naye mpe ins and outs za maisha ya chuo then trust atafuata ushauri. Asipo fuata huna la kujutia maana kaamua mwenyewe
  9. de Gunner

    Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Kuelewa nimeelewa papa anakubaliana na dhana ya kuwepo kwa same sex relationships ila kama mtumishi wa mungu na kanisa katoliki alipaswa kulipinga badala ya kukubaliana nalo. Tuanzie hapo kwanza dini yenyewe hairuhusu
  10. de Gunner

    Nimetambua lengo kuu la kuwepo duniani ni kutafuta uhuru/haki

    Tupo duniani kuishi na si vinginevyo
  11. de Gunner

    Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Aliposema it's a it's a human fact nikajua tayari imeenda hii. Sasa hilo la kubariki mmojammoja linautofauti gani?
  12. de Gunner

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Tatizo madogo wachuo mambo mengi muda mchache.
  13. de Gunner

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Kijana anahisi mademu wachuo ni wife materials
  14. de Gunner

    Viongozi wa dini, iepukeni dhambi hii

    Ndo mda wao wa kujidai.
  15. de Gunner

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Njaa haina elite wacha are kiume
  16. de Gunner

    Ushauri wenu unaitajika,

    Duuh sijaelewa kabisa mwanamke ndo mume mwanamke ndo mke
Back
Top Bottom