Kwa kweli inasikitisha sana tulipofikia

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,373
13,134
Ukitazama madogo asubuhi na mapema wanabeba mabegi mazito migongoni kuisaka elimu siku nzima wanakesha mashuleni kurudi mpaka jioni.

Wengine wanasomeshwa kwa lazima mpaka siku za weekend lengo ni kupata matokeo mazuri ya mitihani yao.

Wana sura zilizo na matumaini lakini moyoni mwangu kumejaa huzuni sana nikiwatazama kaka na dada zao mitaani kuna muda unatamani kuwaambia madogo kuwa wanapoteza muda na wanapotezewa muda wao huko wanakoenda asubuhi na mapema na kurejea majumbani kwao kiza kizito.

Ila unamua tu kukaa kimya na kuendelea na maisha yako lakini madogo hawana future yoyote kabisa wanajiendea tu sawa na kuku aliyekatwa kichwa.

Safari ya madogo na watoto wetu kwenye elimu ni sawa na safari ya kichaa ataenda umbali mrefu mwisho anarejea na takataka.

Kama familia haijiwezi ni vyema ndugu zangu hata kasi ya kuzaa tupunguze serikali zetu hizi hazijali lolote kuhusu umasikini wetu.

Kuzaa zaa hovyo tuachane na aina hii aina ya maisha.

Kwa ufupi taifa linazalisha rundo la masikini kwa kasi sana ndio maana kusifia viongozi na watu wenye pesa inaonekana ni kazi ya kujipatia pesa.

Hakuna future hapa taifani, hakikisha unazaa utakao weza walea na kuwatengenezea njia, viongozi wetu hawaishi kama tunavyoishi sisi wananchi wa kawaida wao wanawaandalia kesho yao bora watoto wao kielimu na kifedha.

Sisi wananchi wa kawaida tuna jiendea tu kama vichaa, tuna zaa masikini na tunaongeza rundo la masikini maana hata mifumo ya elimu yetu hai support kutukomboa na huu umasikini wetu.
 
Umuhimu wa watoto kukua bila kumezwa na masomo tu.. ni kitu cha kusikitisha kuanzia serikali yetu.

Kuna activities nyingi muhimu kuwakuza kimengi.. kwa manufaa ya mengi kwao.

...kuna mengi..... Wazazi ni kujiongeza PIA
 
Ukitazama madogo asubuhi na mapema wanabeba mabegi mazito migongoni kuisaka elimu siku nzima wanakesha mashuleni kurudi mpaka jioni.

Wengine wanasomeshwa kwa lazima mpaka siku za weekend lengo ni kupata matokeo mazuri ya mitihani yao.

Wana sura zilizo na matumaini lakini moyoni mwangu kumejaa huzuni sana nikiwatazama kaka na dada zao mitaani kuna muda unatamani kuwaambia madogo kuwa wanapoteza muda na wanapotezewa muda wao huko wanakoenda asubuhi na mapema na kurejea majumbani kwao kiza kizito.

Ila unamua tu kukaa kimya na kuendelea na maisha yako lakini madogo hawana future yoyote kabisa wanajiendea tu sawa na kuku aliyekatwa kichwa.

Safari ya madogo na watoto wetu kwenye elimu ni sawa na safari ya kichaa ataenda umbali mrefu mwisho anarejea na takataka.

Kama familia haijiwezi ni vyema ndugu zangu hata kasi ya kuzaa tupunguze serikali zetu hizi hazijali lolote kuhusu umasikini wetu.

Kuzaa zaa hovyo tuachane na aina hii aina ya maisha.

Kwa ufupi taifa linazalisha rundo la masikini kwa kasi sana ndio maana kusifia viongozi na watu wenye pesa inaonekana ni kazi ya kujipatia pesa.

Hakuna future hapa taifani, hakikisha unazaa utakao weza walea na kuwatengenezea njia, viongozi wetu hawaishi kama tunavyoishi sisi wananchi wa kawaida wao wanawaandalia kesho yao bora watoto wao kielimu na kifedha.

Sisi wananchi wa kawaida tuna jiendea tu kama vichaa, tuna zaa masikini na tunaongeza rundo la masikini maana hata mifumo ya elimu yetu hai support kutukomboa na huu umasikini wetu.
Elimu ya Tanzania ilitakiwa ibadilishwe miaka 20 iliyopita. Sasa hivi tunazalisha vilaza na siyo wasomi, ndiyo maana muda wote wameduwaa kama nyumbu. Hivi hamshangai kilaza kama Makonda anapita kila mahali akitishia na kukebehi ''wasomi'' walioteuliwa na rais halafu wao wanaitikia kwa woga ''ndiyo mheshimiwa mkuu wa mkoa''. Hakuna msomi wa kweli anayeweza kukubali kufanyiwa hivyo.
 
Mim watoto nawasomesha shule za kingereza za kawaida, nachoangalia ni ubora wa chakula na upendo wa walimu kwa watoto katika shule husika.
Mambo ya kufauli au kufeli wala hayanitishi....nachohitaji mtoto akue akijua hesabu na kingereza cha kuanzia mengine mbele lwa mbele
 
Umeongea ukweli mchungu na ngumu kumeza kwa watu wengi. Ni wajibu wa kila mtu mwenye utimamu wa akili kumtengenezea mwanae njia sahihi na yenye manufaa kwa maisha yake ya baadae. Angalia mwanao anauwezo gani asome primary mpk high-school maana atapata basics baada ya hapo anatakiwa aangalie anapendelea nini na mzazi amsapoti kadri ya uwezo wake na sio kumforce aende chuo akapoteze mda na rasirimali.
 
Mim watoto nawasomesha shule za kingereza za kawaida, nachoangalia ni ubora wa chakula na upendo wa walimu kwa watoto katika shule husika.
Mambo ya kufauli au kufeli wala hayanitishi....nachohitaji mtoto akue akijua hesabu na kingereza cha kuanzia mengine mbele lwa mbele
Pia usisahau jukumu kubwa la kuchonga njia kwa wanao hilo ndilo jukumu kubwa kuliko yote kuliko hicho kingereza cha Yes or No unachoona ufahari wake.

Kama hauchongi njia kwa wanao unafikiri kingereza pekee cha Yes or , Dad and Mum kitachonga njia unakosea pakubwa sana.
 
ila pia kumzaa mtoto na kumpeleka kayumba ni dhambi mbele za MUNGU yafaa tuombe toba kwa kuwatesa watoto wa MUNGU,
 
Pia usisahau jukumu kubwa la kuchonga njia kwa wanao hilo ndilo jukumu kubwa kuliko yote kuliko hicho kingereza cha Yes or No unachoona ufahari wake.

Kama hauchongi njia kwa wanao unafikiri kingereza pekee cha Yes or , Dad and Mum kitachonga njia unakosea pakubwa sana.
Kabisa mkuu future ya watt wetu ipo mikononi kwetu
 
Ukitazama madogo asubuhi na mapema wanabeba mabegi mazito migongoni kuisaka elimu siku nzima wanakesha mashuleni kurudi mpaka jioni.

Wengine wanasomeshwa kwa lazima mpaka siku za weekend lengo ni kupata matokeo mazuri ya mitihani yao.

Wana sura zilizo na matumaini lakini moyoni mwangu kumejaa huzuni sana nikiwatazama kaka na dada zao mitaani kuna muda unatamani kuwaambia madogo kuwa wanapoteza muda na wanapotezewa muda wao huko wanakoenda asubuhi na mapema na kurejea majumbani kwao kiza kizito.

Ila unamua tu kukaa kimya na kuendelea na maisha yako lakini madogo hawana future yoyote kabisa wanajiendea tu sawa na kuku aliyekatwa kichwa.

Safari ya madogo na watoto wetu kwenye elimu ni sawa na safari ya kichaa ataenda umbali mrefu mwisho anarejea na takataka.

Kama familia haijiwezi ni vyema ndugu zangu hata kasi ya kuzaa tupunguze serikali zetu hizi hazijali lolote kuhusu umasikini wetu.

Kuzaa zaa hovyo tuachane na aina hii aina ya maisha.

Kwa ufupi taifa linazalisha rundo la masikini kwa kasi sana ndio maana kusifia viongozi na watu wenye pesa inaonekana ni kazi ya kujipatia pesa.

Hakuna future hapa taifani, hakikisha unazaa utakao weza walea na kuwatengenezea njia, viongozi wetu hawaishi kama tunavyoishi sisi wananchi wa kawaida wao wanawaandalia kesho yao bora watoto wao kielimu na kifedha.

Sisi wananchi wa kawaida tuna jiendea tu kama vichaa, tuna zaa masikini na tunaongeza rundo la masikini maana hata mifumo ya elimu yetu hai support kutukomboa na huu umasikini wetu.
Kuzaliwa Tanzania ni laana tosha
 
Wazazi wengi pia ni wapumbavu.
Mtoto anatoka shule saa mbili usiku na ni wa primary ni rocket science anasomea huko shule?
Mimi nilitakataa ,nikawambia Brokeside kama kufeli mwache afeli kwani nyie kinawauma nini? Na mtoto alikuja kupata A masomo yote
 
Pia usisahau jukumu kubwa la kuchonga njia kwa wanao hilo ndilo jukumu kubwa kuliko yote kuliko hicho kingereza cha Yes or No unachoona ufahari wake.

Kama hauchongi njia kwa wanao unafikiri kingereza pekee cha Yes or , Dad and Mum kitachonga njia unakosea pakubwa sana.
watoto wajue kujieleza kingereza fasaha, wajue kujumlisha, kutoa, kugawanya na kuzidisha hayo mengine ni mbwembwe....na ujue mtoto atafikia mahala ata branch out...hatakuwa kama utakavyo na jiandae na hiyo hali mapema mpe nafasi ya kujidhihirisha tokea akiwa mtoto wa primary
 
Back
Top Bottom