Search results

  1. Unavoidable Servant

    CCM ilikoswa koswa kuondolewa madarakani mwaka 2015 kwa ajenda ya ufisadi, DP World itafanikisha

    OK, mkataba ukibaki kama ulivyo wewe upo kundi gani? A. Ccm iondolewe madarakani? Au B. Ccm iendelee kutawala?
  2. Unavoidable Servant

    CCM ilikoswa koswa kuondolewa madarakani mwaka 2015 kwa ajenda ya ufisadi, DP World itafanikisha

    Bunge hili ndio legacy halisi ya Magufuli, alisimama Kidete kulipata bunge hili, hii ni kazi ya mikono ya Magufuli.
  3. Unavoidable Servant

    CCM ilikoswa koswa kuondolewa madarakani mwaka 2015 kwa ajenda ya ufisadi, DP World itafanikisha

    Umejibu swali la kwanza, la Pili bado haujajibu, upo kundi gani? A. Ccm ifurushwe? Au B. Ccm isifurushwe?
  4. Unavoidable Servant

    Amueni moja mpeni huo Mshahara wa Milioni 40 au Muuzeni kwa tumechoka sasa na Kuvutana Kwenu

    Mwamedi amekata tamaa na transformation, ungejikita huko ndio kunakuhusu. Kama Mayele ni kawaida mbona kila siku unamkatia viuno JF?
  5. Unavoidable Servant

    Rafiki ni mtu wa aina gani?

    Huu ni mchana tayari, Fanya mpango upate chakula ni njaa inakusumbuwa
  6. Unavoidable Servant

    Hawa watoa mikopo kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje?

    Wasikutishe, hawana uwezo wa kukufanya lolote na wala usizime simu. Hao ni matapeli tunagawana hiyo faida ya pesa za Utapeli wanazotapeli watu wenye hofu na Polisi.
  7. Unavoidable Servant

    Hawa watoa mikopo kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje?

    Mimi nimeshawanyoosha, siwalipi na namba zao nimeblock matapeli wakubwa hawa. Uliona wapi upate kwangu laki moja halafu Mimi umenipa 40,000? Kama hujui hesabu hawa jamaa ni matapeli wa kisasa wanaotumia mifumo halali ya kipesa kutapeli, sasa Dawa yao kwa wajanja wenzao kina sisi, ukishachukuwa...
  8. Unavoidable Servant

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    Ina maana wewe huwezi kuwapanda wanawake watatu kwa siku? Mbona rahisi sana? Labda uwe huna mzuka nao.
  9. Unavoidable Servant

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    Stupidity yake hapo inatoka wapi wakati ndio ukweli wa mambo?
  10. Unavoidable Servant

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    Atakuwa na mawe au kawapumbaza kwa miti shamba hao hakuna cha dini hapo asingezini na kuzaa nje ya ndoa.
  11. Unavoidable Servant

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    Wale wanaume wa Mtwara wanaorukishwa kichurachura wanaferi wapi?
  12. Unavoidable Servant

    NHIF Ilala, kwanini hamtaki kutupatia kadi zetu za Bima?

    NHIF ivunjwe, wameshindwa kazi, wanachokiweza ni wizi tu.
  13. Unavoidable Servant

    House4Rent House appartments for rent, latest one

    APPARTMENT HOUSE FOR RENT🔥🔥 Very latest apartments. ✍️✍️ Location: Kiwalani Kijiwe Samli, Mama Samia Suluhu Road. ✍️Vyumba Viwili Kimoja Master ✍️Sitting room ✍️Open kitchen ✍️Public Toilet ✍️Maji Dawasa Mita yako ✍️Umeme Luku yako ✍️Fenced ✍️Parking ipo...
  14. Unavoidable Servant

  15. Unavoidable Servant

    Kanisa la 'Roman Catholic' linaipotosha Pasaka

    Misukule ya Elen G White haina tofauti yoyote na misukule ya Zumaridi.
  16. Unavoidable Servant

    Kanisa la 'Roman Catholic' linaipotosha Pasaka

    Huu ujinga mwingine ni wa kujitakia, kwahiyo waliozaliwa tarehe 25 December wasiadhimishe birthday zao kwakuwa wao siyo Yesu?
Back
Top Bottom