Search results

  1. YoyoTheDeveloper

    Shipping Agent wa Haraka na Kuaminika

    naa kuna mteja amecomment kwamba GNM walivunja mzigo wake
  2. YoyoTheDeveloper

    Shipping Agent wa Haraka na Kuaminika

    nimeenda instagram yao nimeona watu wawili wanalalamika hawatoi updates yoyote kwa mteja kuhusu mzigo wake. cm hawapokei
  3. YoyoTheDeveloper

    Shipping Agent wa Haraka na Kuaminika

    Habari zenu wana JF, Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo. Which one should i go for? - Wapo wanaosema silent ocean wako vizuri na wako fasta, wapo wanaosema Silent ocean ni...
  4. YoyoTheDeveloper

    Router (MiFi) ipi inafaa kwa matumizi binafsi?

    Nilichkua Airtel 5G router 110,000 tarehe 25/12/2023. Ilikua inafanya kazi fresh na speed ni nzuri sana. Ila jana tarehe 20/01/2024 imegoma kabisa kushika. sasa sijajua ni shida ya mtandao kwa hali ya mawingu au ndio mwezi ukikaribia wanakata. Mwanzo speed ilikua nzuri ila mwisho. Nmeona ni...
  5. YoyoTheDeveloper

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer, nahitaji kutumiwa $10 ili niweze kufikisha minimum withdrawal nitoe hii pesa. mimi nitatoa cash. ahsanteni.
  6. YoyoTheDeveloper

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari zenu wakuu, kwa yoyote mwenye account ya payoneer na uko dar, nahitaji kutumiwa $10 kisha nitatoa cash. Nataka kufikisha minimum withdrawal. Nitoe hii pesa. Ahsanteni.
  7. YoyoTheDeveloper

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu hii speed yake ikoje, je ni unlimited kweli. maana nipo njiani niinunue.
  8. YoyoTheDeveloper

    Nahitaji Line Ya Safaricom kwa ajili ya kutumia Paypal

    Habari zenu wanajamvi.! Nipo Dar nahitaji line ya Safaricom ili niweze kufungua account paypal nipokee malipo mtandaoni. Kuna ambaye anauza hapa dar au wakala au namna yoyote ambayo mtu anafahamu anielekeze niweze kupata. Natanguliza Shukrani zangu. 🙏
  9. YoyoTheDeveloper

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
  10. YoyoTheDeveloper

    Ilinibidi kupitiliza kituo baada ya kuhisiwa mwizi

    Ulitumia akili aisee 😂😂 usikute aliona una dalili za kushuka na yawezekana huo ndo mchezo wake.
  11. YoyoTheDeveloper

    Vituko:Ukiulizwa umepata wapi namba yangu unajibu nini?

    Yani tunajuana alf unaniuliza namba nmetoa wapi, mi huwa naiibu "kama hutaki mawasiliano na mm sema sio unaniuliza namba nmetoa wapi" Short Clear.
  12. YoyoTheDeveloper

    Wazoefu wa Aliexpress

    Simple clear, maelezo yameeleweka 100%
  13. YoyoTheDeveloper

    Wazoefu wa Aliexpress

    Je kama free shipping ni ya Aliexpress wenyewe?
  14. YoyoTheDeveloper

    Wazoefu wa Aliexpress

    Pale kwenye ZIP/Postal Code najaza sanduku la posta au hizi hapo kwenye picha?
Back
Top Bottom