Wazoefu wa Aliexpress

Utapokea kwa njia ya posta,kikubwa ni kujaza address kwa usahihi,utapokea mzigo vzur bila shida..jitahid kutumia standard shipping kuepuka mzgo wako kuchelewa sana kama free shipping

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Pale kwenye ZIP/Postal Code najaza sanduku la posta au hizi hapo kwenye picha?
Screenshot_20220409-020935~2.jpg
 
Standard average ni siku 21 japo ikichelewa hufika hata 28 au 25, free shipping siku utakutana na caniao au wale wengine mzgo unaeza kaa hata miez 3

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Mkuu, free shipping inategemea muda muda, mm niliagiza ndani ya wiki mzigo umefika, sijawahi kutumia option nyengne zaid ya free shipping. Mim nadhani ukinunua kwa supplier mwenye minyonlta mingi anauprocess mzigo wako kiprofessional chaap tu unafika
 
Kweny mostly case free shipping kuwah ni kubet mkuu..kama huna haraka na mzgo wako sawa..ila kma upo serious sana basi lipia standard shipping tu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, free shipping inategemea muda muda, mm niliagiza ndani ya wiki mzigo umefika, sijawahi kutumia option nyengne zaid ya free shipping. Mim nadhani ukinunua kwa supplier mwenye minyonlta mingi anauprocess mzigo wako kiprofessional chaap tu unafika
Logic sio free shipping bali nani analeta. Inaweza andikwa free shipping ila ikawa ni Aliexpress standard free shipping (kwa maana seller atalipa mwenyewe fees) na inaweza ikawa shipping ya bei ndefu ila ni Caniao. Hao caniao unaweza ukajuta, miezi kadhaa unasubiri mzigo.
 
Back
Top Bottom