Search results

  1. mr pipa

    Dkt. Biteko: Tuwavumilie TANESCO, lazima miundombinu ya umeme iendelee kutengenezwa

    Waziri Biteko amesema kuwa tuyapokee matangazo ya TANESCO wanayoyatoa huku tukiamini kuwa ni ya nia njema. Kuna matangazo yanatolewa kuwa watazima umeme kwa ajili ya matengenezo halafu unakuta komenti ya kwanza inasema nyie nae tumewachoka. Sasa tufanyeje katika mazingira kama haya? Ni lazima...
  2. mr pipa

    Hatimaye matapeli umehamia Whatsapp

    Nimekaa nasoma JF, Mara text hizo kwa wasapu yangu angalia mwenyewe hizi screenshot
  3. mr pipa

    Na huyu anatambulika ni mke wa ndoa kisheria?

    Mfano umemtongoza binti ukapeleka posa mkaishi mkazaa watoto ikapita miaka 10 hamjafunga ndoa vipi huyu mwanamke atakuwa na uhalali wowote kisheria za kimahakama ikiwa hamjafunga ndoa. Nikiwa na maana siku mkiachana anauwezo wa kudai vitu mlivyochuma kwa kipindi chote hiko ikiwa hakuna...
  4. mr pipa

    Ni wimbo gani unapendaga kusikiliza pale inapotokea mpenzi wako amekuumiza kihisi?

    Mimi huwa nasikiliza Kuna mwimbo mmoja hivi wa jamaa wa kuitwa [toxic_jinai] asee hili ni bonge moja la pini kwangu huu wimbo haujawai kuniangusha hasa pale mpenzi wangu inapotokea kanikosea na kuniumiza kihisia na huwa napendaga kuusikiliza mbele yake na kuuwekea repet/reaplay huku nimekula...
  5. mr pipa

    Naomba kuunganishwa na madalali wa Songea mjini wanao husika kuuza nyumba na viwanja

    Nina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/ mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote kitu nitatoa kwa ataeniunganisha na mmoja wa maadalali wa mji huo ili kufanikisha zoez langu
  6. mr pipa

    Kama dunia duara, je unaweza ukatoka Tanzania ukazunguka kwa muelekeo uleule na ukaja tena kutokea Tanzania?

    Sote tunaujua mpira ya mpira ambao uotumika kuchezwa na wachezaji vipi ule si duara kama dunia!? Leo hii ukiuchukua mpira ukachukua makapeni ukauchora mstari kwa uelekeo uleule ukazungusha, mwisho unatokea palepale ulipo anzia kuchora, nadhani umeelewa, okee!! Basi leo hii ukachukua ndege...
  7. mr pipa

    Huwezi kuheshimika ikiwa ulie nae anajitosheleza kimahitaji ukitaka akutii mfanye awe muhitaji

    Leo ndoa nyingi wanaume wengi tunalia wanawake wetu hawana adabu hawatuheshimu wanatupangia unyumba, nk mnasahau kitu kimoja ya kwamba ili uheshimiwe lazima kuwepo na kitu kitachokufanya uheshimiwe, mtoto humuheshimu baba yake kwa sababu ya mahitaji yake, mwananchi anamuheshimu kiongozi wake...
  8. mr pipa

    Kuna muda watu wa duniani wanaongea lugha moja

    Unaweza sema urusi na ukrain hawapatani na unaweza sema israel na palestina hawapendani, unaweza zani mtu mweupe na mweusi wanabaguana, ila ukweli ni kwamba hawa wote wanafiki tu na hata hivi vita vinavyoendelea kwenye mataifa ni uhuni tu, yaani inafikia muda mtu kashibaa, kavimbiwa kiasi...
  9. mr pipa

    Taja timu ambazo hazijawahi poteza michezo yake 2023/2024 duniani

    Tuwekeane list ya timu ambazo kufunga kwao ni uhakika na kushinda kwao ni uhakika: liverpool, manchester city, bayer leavekus, young africa,beyarn munich, kwa wale wazee wa kubet hizi ndio timu ambazo zina uhakika %95 ongeza zilizo sahaulika
  10. mr pipa

    Wanaume, kitanda hakizai haramu bwana!

    Kuna mwamba mmoja yeye kila mkewe akijifungua anachukua vioo viwili, kisha anajitazama yeye na mtoto, ataangalia chogo chake na cha mtoto, akiona kasoro ataanza, mke wangu huyu sio wangu na mambo kibao, sasa tabu yote ya nini? Wanaume mnapima pima ma DNA ili mgundue nini? Zaidi mtajisababishia...
  11. mr pipa

    Umeshawahi kukutana na mtu mbishi hata ufanyeje ni ngumu sana kukuelewa? Huwa wana matatizo gani?

    Watu wa hulka hiyi sijui wana matatizo gani? Yaani ni wa bishi mno nakumbuka nilikuwaga na ex wangu mmoja hivi mkianza kukaa kubishana hata umueleweshe vipi kukuelewa ni ngumu. Basi kuna siku alipata shitaka fulani hivi kuna mtu alimkosea, huyo mtu akashindwa mvumilia akaenda mahakamani, siku...
  12. mr pipa

    Hivi ni sahihi mke kuvalia nguo na kuweka vitu chumbani kwa wadogo zako?

    {Mods naomben mnisahishie hapo kwenye heding badala ya zako weken zake} aya twende kwenye mada: Yaan ile umejenga nyumba wewe mwanaume umeoa na umeruhusu kukaa na shemeji zako baada ya muda mrefu mke anaanza tabia ya kuhamisha vitu vyake chumbani kwenu na kuvipeleka chumbani kwa wadogo zake na...
  13. mr pipa

    Inawezekana kabisa viongozi wa nchi hii hawajui wafanye nini ili wakuze uchumi wa wananchi wao

    Nadhani wananchi wenyewe mngewapa mbinu, maoni viongozi wenu kupitia platform mbalimbali ili wajue mnahitaji nini kulikoni kukaa na kuwa dislike, ninachojua mpaka sasa na ninaamini hilo ya kuwa katika viongozi waliopo madarakani hakuna mwenye maono wala ubunifu wa kukaa kusugua kichwa afanye...
  14. mr pipa

    Pendekezo langu: Tupitishe sheria yakua ukitaka kugombea uongozi ngazi za juu sharti uwe na kampuni zako kiufupi uwe tajiri

    Viongozi wengi wa africa mnakula rushwa na kujilimbizia mali na mataifa yenu hayapigi hatua, kutokana mnaingia madalakani huku mkiwa maskini, matokeo yake mnaacha kuendeleza nchi zenu na kuwapa wananchi unafuu, mnajikuta mnakuwa mafisadi mnajilimbikizia mali, yote haya ni umaskini wa huko...
  15. mr pipa

    Ushauri wangu kwa Serikali na Waziri husika wa Nishati, kabla hamjawasha mtambo namba 9

    {Hapa tunaongea kama wana ilimradi ujumbe ufike}Waziri husika na serikali yako kwanza gharama ya uingizaji umeme kwenye majumba ya wananchi wenu ni kubwa, hasa mijini tsh 321,000/= si pesa haba punguzen ili kila mmoja aingize huu umeme wote tulipe kodi ya jengo au hamjui kwamba kuna nyumba...
  16. mr pipa

    Nahisi mimi ndio member ambae anaongoza kupigwa block na watu wengi hapa jamiiforums

    Na kama wangekuwa wanachukua tuzo naamin mwaka huu ningechukua tuzo ya mpigwa block na members wenzake, na huwa sijuagi nakosea wapi mpaka members kunipiga block, cha kushukuru sijawahi pigwa banned toka nijiunge jamiiforums ila ajabu wanachama wenzangu wa mtandao huu ndio wanaoongoza kunipiga...
  17. mr pipa

    Kumbe noti za shilingi elfu kumi kwa ujumla wake zipo trillion sita?

    Kwa mujibu wa B.O.T mwaka 2018 noti za shilingi elfu kumi zilikuwa trillion tatu na mwaka 2023 zimeongezwa tena kwenye mzunguko na kufikia trillion sita, hiyi inaleta picha gani?
  18. mr pipa

    Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

    Kuna vitu vinatafakarisha sana hasa ukiwafikiria vijana wanavyodai na kumchukia mwanamke msaliti, sasa tuweke sawa, ni hivi kuna baadhi ya wanaume tunasemaga, ukimkuta mkeo kakusaliti au ana dalili za usaliti fukuza!! Hapa ieleweke kwamba anaetakiwa kumfukuza mkewe andapo...
  19. mr pipa

    Ni muda muafaka Afrika Mashariki kuwa taifa moja lenye Rais mmoja na Serikali moja

    Huwa nawazaga hivi kwa viongozi mliopo madarakani hakuna anaewaza kuitawala Afrika Mashariki yote na kulifanya likawa taifa moja? Kwa sasa naiona hiyo ni fursa kwa viongozi wa Tanzania kujitafakari na kuchanga karata ili muweze pata fursa ya kufikia lengo hili, ila kama mtaendelea kuwaza...
  20. mr pipa

    Nyimbo nyingi za bongo fleva zinahamasisha usaliti na kuachana

    Unakuta nyimbo inasema " bora niinjoi maisha mafupi matamu si simpo, kama kumpenda bora nimpende mama yangu kama kupenda nitajipenda mi mwenyewe, sasa kwa hali hiyo msinyimane tu unyumba na ndoa kuwa ngumu, kwa niaba ya wana ndoa woote tanzania kwa pamoja tukaushitaki mziki wa bongo fleva kwa...
Back
Top Bottom