mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,441
- 5,064
Mimi huwa nasikiliza Kuna mwimbo mmoja hivi wa jamaa wa kuitwa [toxic_jinai] asee hili ni bonge moja la pini kwangu huu wimbo haujawai kuniangusha hasa pale mpenzi wangu inapotokea kanikosea na kuniumiza kihisia na huwa napendaga kuusikiliza mbele yake na kuuwekea repet/reaplay huku nimekula buyu, kwa mbali nikichezea chezea betoo basi ataniangalia kwa jicho la huzuni na kuona hapa lolote linaweza tokea, mana huwa sipendag kusikiliza nyimbo za kujiliza liza mbele ya mwanamke alienikosea, vipi wewe