Search results

  1. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Wasalamu, Jana nilifika sehemu kuchukua mboga sehemu kunauzwa na vinywaji moto na baridi. Niliwakuta jamaa wawili wana Konyagi lile kubwa linaitwa sato. Nilijiuliza yafuatayo. Hivi kama Konyagi inaunguza maini kwanini wanaziruhusu watu wazitumie? Ina mana serikali inaingiza Kodi Ili watu wafe...
  2. KISS 100

    Ajira serikalini zimetangazwa, vijana zingatieni haya

    Wasalamu ndugu,Bungeni Leo wamesema kibali Cha Ajira kimetoka. Nawashauri vijana ambao mnategemea kuomba hasa zile za kuaaply mfanye maandalizi mapema. 1.Vyeti vyako visiwe mbali na wewe 2.Simu yako isikose bando 3.Line yako uliyoijaza kwenye CV yako iwe hewani mda wote 4.Wasiliana na...
  3. KISS 100

    Sura na Tabia kipi kinakufanya Uoe?

    Wasalamu,hii kitu inanichanganya sana,unaweza Kuta mwanamke ana sura,ana Tako ila Tabia ni sio nzuri kivile. Unaweza Kuta mwanamke ana sura ya kawaida tu na Tako la kuibia tu ila ana adabu balaa. Hapa ndipo wengi wanafeli mana Sura sio Tabia na Tabia sio sura. Hapa ndipo wengi wanaanza kufeli.
  4. KISS 100

    Kuna mawaziri wana Sponsor Raisi atukanwe?

    Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!! Juzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha katamka wazi wakati wa kuazimisha miaka 40 ya kifo Cha Sokoine. Akasema wapo mawaziri hapa wanatoa Hela Ili Raisi wetu atukanwe. Akasema mkiendelea nawataja wazi .Huyu jamaa yupo Sirius...
  5. KISS 100

    Mnaokunywa Pombe kwanini mnatushawishi tusiokunywa?

    Wa salaam,Dunia imejaa starehe nyingi na huwezi juzijua na kuzipenda zote. Nina majirani zangu wanatumia Kilaji mara nyingi.Utasikia kunywa kidogo unakunywaje soda mtu mzima?. Jamani nashindwa kuelewa kwamba hivi nyie kwani Kila mtu lazima atumie pombe? Ooh unatutenga jama,maneno ya ushawishi...
  6. KISS 100

    Baadhi ya channel hazipo tena Dstv

    Wasalamu,Hawa Dstv mbona channel nyingi zimefungwa 31 march, Magic west 103,115 Me haipo. Wanapunguza channel halafu bei zipo pale pale. DStv mnafeli wapi wajameni
  7. KISS 100

    Karatu mjini nyama yapanda bei toka 9000 kwenda 10,000

    Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000. Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024 graph ipo juu. Sipati picha zile familia za watu kumi zaidi,inapidi ulipie 20,000 kg 2 uunge na...
  8. KISS 100

    Watu 60 wameuwawa Urusi

    Wasalamu,shambulizi limetokea kwenye tamasha la Music huko Urusi na watu kuuwawa. Naogopa isije tokea vita ya tatu ya Dunia,tutateseka sana wadau Remember Mauaji ya Archiduke Ferdinand wa Serbia yalianzisha vita ya Dunia.
  9. KISS 100

    ITV wanachezesha sana kamari

    Wasalamu.Najisikia vibaya sana nawasha TV niangalie halafu nakuta kamari zinachezeshwa. Radio nyingi pia wana hii Tabia ya sijui weka buku ushinde.Shida nini wadau?
  10. KISS 100

    Sababu zinazofanya wanaume wafe mapema

    Wasalamu, ukiangalia Katika familia nyingi wamebaki kina mama. Kina baba wanakufa sana. Hivi sababu ni nini? Mimi naanza na zangu. 1. Majukumu mazito ya kulea familia 2. Tabia hatarishi Katika maisha(eg kuvuta sigara sana,pombe kupitiliza) 3. Ejaculation for men 4. Stress kupita kiasi 5...
  11. KISS 100

    Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

    Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser. 1.Nitrates 2.Alcohol 3.Fried Food(Vyakula vya kuoka) 4.Trans Fats 5.Canned Tomato 6.Food Dye(Rangi za vyakula na vinywaji) 7.Mircrowave Popcorn 8.Red Meat 9.Hot Beverages.(Hot drinks eg Coffee)...
  12. KISS 100

    Kama unaamini unapendwa unajidanganya

    Wasalamu. Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma. Ukienda kutambulishwa ukweni cha kwanza wanauliza anafanya kazi gani. Hawa wa kileo mnajuana Leo na deni linaanza hapo hapo.Shida kibao mpaka za ukoo wao. Siku hizi Kuna biashara ya mapenzi ila...
  13. KISS 100

    Ili ufurahie DStv kifurushi kianzie 60,000

    Wasalamu, wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake. Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana. Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel nyingi sana. Hebu nijuzeni mnainjoi sana au magumashi? Naombea one day nilipie zote nijue kuna nini?
  14. KISS 100

    Orodha ya Magari yasiyo na uhakika safarini

    Salamu,ifuatayo ni orodha ya Unreliable Cars ukiwa safarini.Hakuna uhakika wa kufika Kwa 100 asilimia 10. Nissan 09. RAM 08. Cadillac 07. Ford 06. Tesla 05. Chevrolet 04. GMS 03. Volks Wagen 02. Jeeps 01. Mercedes Benz
  15. KISS 100

    Hivi ikitokea Katika itifaki kiongozi kapata tumbo la kukata inakuaje?

    Salaam,sisi ni binadamu hua Kuna vidharura vya ghafla.Mfano hapo wapo ibada ya maziko halafu mfano kiongozi kashikwa na tumbo la kukata au Hali mbaya kiafya wanafanyeje? Au mfano kiongozi ana taka kupata short Call mana wazee wengi haipiti nusu saa wanapenda short call sometimes. Sasa hapo...
  16. KISS 100

    Nani mmiliki wa Thunder Television?

    Salam, Hii chanel ipo kwenye other channel Azam no 1023. Hawa jamaa sio Siri wanapiga miziki mchanganyiko sana. Dstv Hip Tv wanajitahidi ila miziki mingi wanapiga ya kinajeria. Hongereni sana wajuba wanaomiliki hii TV. Mpaka Sasa ndio nazidi kuchanganyikiwa Kua Azam na Dstv nani mkali. NB...
  17. KISS 100

    Kazi zenye Furaha zaidi ulimwenguni kote

    Salamu. Watu wanaofanya hizi kazi wana Furaha zaidi. 1. Early Child hood Educator. 2. Market Consultant 3. Interior Designer 4. Esthetisian 5. Carpenter 6. General Manager 7. Plumber 8. Event Planner 9. Chef Executive 10. Sound Engineer.
  18. KISS 100

    Hali ilivyo nchini Kwa Sasa

    Salamu ndugu zangu.Tuwe wakweli Kwa Sasa Kwa asilimia kubwa Kuna haya mambo yameshamiri Kwa Sasa. Wataalamu yatafutieni ufumbuzi 1.Umeme imekua kero 2.Sukari imekua anasa 3.Dollar imeadimika sana 4.Hali ni ngumu mtaani 5.Vijana hawana Ajira 6.Mfumuko wa bei nchini 7Mafuta ya Petrol na Diesel
  19. KISS 100

    Hivi Serikali imeshindwa kuthibiti bei ya sukari?

    Salamu, malalamiko ni mengi sana kuhusu bei ya sukari na upatikanaji wake. Kila mfanyabiashara anajipangia bei anavyojisikia. Pia inasemekana wafanyabiashara wanaificha Ili waje waipandishe bei. Je, ina mana vyombo husika vimeshindwa kabisa kuwadhibiti hawa wafanya biashara? Kwakweli hii hali...
  20. KISS 100

    Ina mana Nigeria wanajua mziki sana Africa?

    Salamu,nikiangalia hizi channel za miziki Azam na Dstv miziki mingi inayopihwa ni wanigeria. Ina mana wao ndio wanajua kuimba zaidi Africa nzima? Mana hapa Kila channel Nigeria zaidi.
Back
Top Bottom