Kuna mawaziri wana Sponsor Raisi atukanwe?

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
527
1,105
Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!!
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha katamka wazi wakati wa kuazimisha miaka 40 ya kifo Cha Sokoine.
Akasema wapo mawaziri hapa wanatoa Hela Ili Raisi wetu atukanwe.
Akasema mkiendelea nawataja wazi .Huyu jamaa yupo Sirius wakuu wangu.
Nahofia unakuja kutokea mpasuko mkubwa Tanzania.Simpangii Raisi wetu nini Cha kufanya ila awe makini na huyu mtu mana nchi hii tumeishi Kwa amani miaka mingi.
Nchi iendeshwe Kwa Katiba na Sheria.Siyo Kwa majungu na Hear Says.
Asanteni
 
Watu wote wanaomsikiliza Bashite wao ndio wenye matatizo siyo Bashite himself.
 
hehe! we kumbe huijui siasa inamambo mengi kwani unafikiri wote walioserikalini wanamtazamo sawa na wa rais..??
watu kwenye vikampuni vidogo tu wanafanyiana figisu ije ishindikane kwenye nafasi nyeti ya urais..!!
watu wengi wanaitaka hiyo nafasi hawalali,wanawaza,wanaroga,wana kila namna shughuli ni mbichi na pevu babu.
watu wanataka waandike historia kwenye taifa na koo zao kuwa walishawahi kuwa marais wa nchi!.. ukizubaa umezubaa wewe watu wana ambition na ni mission..😅
 
Ushaambiwa na Gwaji boy kuwa Bashite alizungusha duara kuanzia primary, kisha form 4 akapata Fight For Food For Four years (yaani F5 za NECTA) halafu leo wewe umekaa unamsikiliza huyu jamaa. Kabla hujamsikiliza anayosema jiulize kwanza kichwani kwake kuna nini?
 
Kweli aisee
 
Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!!
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha katamka wazi wakati wa kuazimisha miaka 40 ya kifo Cha Sokoine.
Akasema wapo mawaziri hapa wanatoa Hela Ili Raisi wetu atukanwe.
Akasema mkiendelea nawataja wazi .Huyu jamaa yupo Sirius wakuu wangu.
Nahofia unakuja kutokea mpasuko mkubwa Tanzania.Simpangii Raisi wetu nini Cha kufanya ila awe makini na huyu mtu mana nchi hii tumeishi Kwa amani miaka mingi.
Nchi iendeshwe Kwa Katiba na Sheria.Siyo Kwa majungu na Hear Says.
Asanteni
We ulimuamini?
 
Kama huzijui akili za Makonda utasumbuka sana...
 
Hivi kwa kutoa kauli hiyo hata kama itafika hiyo Jumatatu wasengenyaji wakawa wametulia, huyo mropokaji bado ataendelea kukaa kimya bila kuwataja majina yao kwa rais? Kwa vyovyote vile rais mwenyewe angependa kujua majina yao hata kabla ya hiyo Jumatatu bila kujali kama wamestop kumsema vibaya au la.
 
Wasalamu,Mimi Si mpenzi wa mambo ya siasa,ila naomba kuuliza Ina Magufuli Voice!!!
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Arusha katamka wazi wakati wa kuazimisha miaka 40 ya kifo Cha Sokoine.
Akasema wapo mawaziri hapa wanatoa Hela Ili Raisi wetu atukanwe.
Akasema mkiendelea nawataja wazi .Huyu jamaa yupo Sirius wakuu wangu.
Nahofia unakuja kutokea mpasuko mkubwa Tanzania.Simpangii Raisi wetu nini Cha kufanya ila awe makini na huyu mtu mana nchi hii tumeishi Kwa amani miaka mingi.
Nchi iendeshwe Kwa Katiba na Sheria.Siyo Kwa majungu na Hear Says.
Asanteni
Mbona hawataji?
 
Back
Top Bottom