Ajira serikalini zimetangazwa, vijana zingatieni haya

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
527
1,104
Wasalamu ndugu,Bungeni Leo wamesema kibali Cha Ajira kimetoka.

Nawashauri vijana ambao mnategemea kuomba hasa zile za kuaaply mfanye maandalizi mapema.

1.Vyeti vyako visiwe mbali na wewe
2.Simu yako isikose bando
3.Line yako uliyoijaza kwenye CV yako iwe hewani mda wote
4.Wasiliana na mliomaliza nao wakupe A,B,C
5.Kaa maeneo yenye access ya kupata taarifa muhimu(Be updated)
6.Muombe Muumba wako mana Kuna stiff competition.

Wengine watakuja na ushauri pia.

Karibuni
 
Tips nzuri
 
Screenshot_20240418-094341.jpg
 
Sawa sawa bila kusahau andaa connection
 
Back
Top Bottom