Search results

  1. KISS 100

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Pia vyombo vya habari vimezidi Sasa,sio Kila kitu kuandika
  2. KISS 100

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Kuna masuala huwezi kuyajua mpaka unakufa.Hawezi kukubali kwamba ni yeye
  3. KISS 100

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Mawazo yako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KISS 100

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Papuchii Sent using Jamii Forums mobile app
  5. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Hakuna anaekuzuia mkuu,just relax
  6. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Kuna wimbi la Hawa madogo wa kitaa wanakunywa kwa stress na zile za ofa nimeona zimeua wengi
  7. KISS 100

    Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

    Aliyesoma Muha na Vingine mshahara ni ule ule Wala usicomplicate
  8. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Wanadai always is a slow process but wengi main yamefeli na figo
  9. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Kweli kabisa,pia hapa Tz now days vijana asubuhi wameamkia pombe hata uji hawajatia tumboni
  10. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Walikua wanapikiwa nyama ndizi pembeni
  11. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Mbona nilienda mahafali Moja ya shule wakawa wanatoa onyesho la namna pombe inavyoharibu maini
  12. KISS 100

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Wasalamu, Jana nilifika sehemu kuchukua mboga sehemu kunauzwa na vinywaji moto na baridi. Niliwakuta jamaa wawili wana Konyagi lile kubwa linaitwa sato. Nilijiuliza yafuatayo. Hivi kama Konyagi inaunguza maini kwanini wanaziruhusu watu wazitumie? Ina mana serikali inaingiza Kodi Ili watu wafe...
  13. KISS 100

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Bia haiui kama pombe Kali,na ndio mana wanawake hawazipendi,wanataka mfe wamiliki majumba yenu
Back
Top Bottom