Selection za Muhimbili (MUHAS) zinanichanganya sana

Mzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.

Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.

MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking

MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas

University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.

Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.

Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.

Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
kuna mzazi kamwambia mwanae akikosa nafasi muhimbili basi akatafute nyumba ya kuishi, nilicheka sn kwa huzuni na kwakushtushwa sn
 
Ila maisha muda mwingine unapanga hili na Mungu anapanga...nilitamani engineering nikapata Div3 - 2010, nikaambulia computer science ifm na sasa nipo kwenye taasisi kubwa tu na maisha yanaendelea
Mtoa Mada
Omba mapenzi ya Mungu yatimizwe kwako hiko ndo cha msingi
This is great mkuu,tuombe mapenzi ya Mungu maishani mwetu,kuna jambo unaweza kua unalitaka kwa udi na uvumba lkn linakugomea kila ukijaribu ,,,,kumbe Mungu anahitaji ufanye jambo lingine.
 
Mzazi makini hapaswi kuwaza muhimbili tu.

Katika nchi jirani zinazotuzunguka Kuna vyuo vikuu kibao vina ranking ya juu kuliko muhimbili tena ada zake hazitishi sana.

MD ya makerere ina nguvu kuliko ya muhas kwenye world ranking

MD ya university of zambia ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of Malawi ina nguvu kuliko muhas

MD ya university of nairobi ina nguvu kuliko muhas

University of rwanda pia ina Md yenye nguvu sana.

Wazazi wengi siku hizi wanalipa ada mamilioni toka chekechea na sekondari wanalipa mamilioni huko marian, st francis, tusiime ama feza.

Ila cha kushangaza vyuo wanategemea vya ndani yetu tu.

Ukienda kusoma kwenye top public university za nchi zinazotuzunguka tu unakuwa na degree kali sana ya medicine kuliko ya muhas.
Kigezo loan board mkuu na ndio maana wanabanana huku,sasa nje ya tz inabidi watafute means nyingine ya pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom