Kila mtu anaangaia ulaji wake. Mdee hataki kuachia ubunge, Mbowe hataki kuachia uwenyekiti, Lissu naye ana ulaji wake nk nk. Kicha cha kila mtu kipo kwenye maslahi yake.
Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
Hii ni kweli. Hizo biphenols zina chemical structure kama za baadhi ya hormone za uzazi. Ukizitumia zinaenda kuvuruga mpangilio wa hormones. Kunywa chai kwenye vikombe vya plastiki ni hatari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.