Search results

  1. holy spirit

    Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Achana nae na we pia lea mtoto kama una hakika ni wako. Kama ni duka unaweza kusimamia hata wewe.
  2. holy spirit

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Kila mtu ana idea yake ya kupata pleasure na ku enjoy tendo. Kumuomba Kwa upande wangu unaweza kama unapenda kunyonywa ila akikataa sio vyema iwe ugomvi sasa
  3. holy spirit

    Pisi kali ni majasiri na wavumilivu sana

    [emoji23] Halafu ukute ni mbu wa dar
  4. holy spirit

    Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Single mother yoyote atakwambia "atakaenipenda mimi ampende na kumkubali mwanangu pia", maana yake rahisi ni kwamba nitampa mzigo/s£x kama malipo ili achukue nafasi ya baba mzazi aliekimbia na atoe huduma zote kwangu na kwa mtoto Tafakari hili chukua mda wa kutosha
  5. holy spirit

    Uliyeoa/kuolewa: Je, unaweza kubadilishana simu na huyo mwenza wako japo kutwa moja tu?

    Tubadilishane za nini si kila mtu ana yake
  6. holy spirit

    Mapenzi ni hisia full stop

    Mi huwa hisia zinakuja Kwa yoyote tu mweupe halafu ana trako and hips pana.
  7. holy spirit

    Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

    Kwa hiyo hizo ngozi tunazoona zimesinyaa na mvi kichwani sababu yake nini kama sio uzee
  8. holy spirit

    "Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

    Nyie tukipendeza mkatusifia huwa mmewajibika
  9. holy spirit

    Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

    Nilijua niko mwenyewe, zinaishia kati kati yani hazifuniki nanilii yote
  10. holy spirit

    Hongereni kamati ya vimbunga kwa kupitisha jina la Hidaya

    Aitwe hidaya halafu awe na kipini puani, atafyeka mtaa wote. Huwa vinakatika balaa ila harufu ya samaki sasa.
  11. holy spirit

    Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Ukiomba akakunyima omba mwingine akikunyima na yeye endelea kuomba hadi upate atakaekupa
  12. holy spirit

    Kuoa mwanamke mwenye kipato cha juu ni kijitafutia stress

    Mgawie majukumu. Hicho kiburi ni kwasababu hela yake haifanyi chochote
  13. holy spirit

    Minyanduano inaenda sambamba na kupeana furaha

    Hakuna anayeweza kumridhisha binadamu yoyote kwa asilimia mia, fanya yaliyo ndani ya uwezo wako. Akihitaji yaliyo nje ya uwezo wako mwambie atafte mwingine wa kumpa....OVER
  14. holy spirit

    Kwanini msichana akifikisha miaka 27 kama hajaolewa anapenda kujipiga picha na kujiweka kwenye mitandao?

    Kwaiyo akifika 27 and above akijipiga picha maana ake anatafuta kuonekana. Je kama anapenda picha tu au hobby yake ni social media
  15. holy spirit

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Cha muhimu mi nilifanikiwa kuchomeka nilipokuwa nafukuzia hayo mambo ya kupata raha nenda kapewe na bwana yesu.
  16. holy spirit

    Mabinti wahitimu wa vyuo Amkeni

    Wanataka kuolewa na watu wenye elimu kama wao, hapo waoaji wenye elimu na wenyewe hawana ajira wanaogopa majukumu ya familia. Wengine wanataka wafanyabiashara wakubwa ambao ni catch ya wanawake wengi pengine wazuri zaidi yake. Note: Sisemi kwamba wanawake hawana haki ya kuchagua, kila mtu ana...
  17. holy spirit

    Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Ukipenda ni kawaida. Unajikuta tu na hamu ya kumhudumia
Back
Top Bottom