Mapenzi ni hisia full stop

Mkubwa Mapenzi ni "komitiment"


Hisia hushia. ondokana na uo upofu ulio ingia aisee jitahidi kuwa pata mtu alie na "komitiment"

hisia hubadilika .. kutokana na sababu kadha wa kadha.. hisia hujengeka over time ndo maana unaweza mfata binti akuelewi ukamshawish mpk akaingia king... na mkapendana epic ..



ila ukizungumzia "komitiment" ni kitu ingine kabisa haijalisha yuko aje .. hali gani .. na wakat gani akiwa "komited" utafika mbali sana na mtu wako kwenu mapenzi ..


Hakikisha unapata iyo kitu wachana na hisia huja na kupotea


ila kama ni short term go for hisia ila in long run ...


##"all the good thing comes to those who wait"
 
Hisia ndio injini ya mapenzi matamu

Narudia mapenzi ni hisia, hisia zikiwa kwa mtu fulani hata moyo, nafsi na akili yako yote itakuwa pale
Sauti yake pekee inaweza kukuvurunga kabisa yaani ukahisi kuchanganyikiwa, ukimgusa ndio balaa. Ukiwa naye ndio unakuwa chizi kabisa na akiku...unafika.

Mwanaume omba sana mwanawake utakayempenda akuelewe kuna maisha fulani utayaishi ambayo wakati mwingine huwa unayaona kwenye tv na masimulizi. Yeye atakufanyia ilivyo

MWANAMKE akiwa na hisia na ww ataishi maisha ya aina yako, kipato chako, atakushauri vyema na huwa msikivu na mtiifu mno. Huwa mzuri kuanzia kitandani, jikoni, kichwani na kila leo hutamani kuwa mpya kwako ili penzi lake lisife akapoteza thamani yake kwako.

MWANAUME akiwa na hisia na wewe hata kama alikuwa na amejiengesha mahala hupiga chini haraka sana ili kulinda mahusiano na mtu aliyemtafuta/aliyemhitaji siku nyingi wa matamanio yake.
Mi huwa hisia zinakuja Kwa yoyote tu mweupe halafu ana trako and hips pana.
 
Back
Top Bottom