Search results

  1. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada. Haiwezekani mtetezi wa...
  2. happyxxx

    Pole Zuchu mafanikio huambatana na chuki

    Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu...
  3. happyxxx

    Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

    Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea. Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion? Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k? Nani anapaswa kuwajibishwa? Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
  4. happyxxx

    Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
  5. happyxxx

    Biswalo piga kazi wazalendo tupo nyuma yako

    Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki. Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila kuonea mtu. Sasa mafisadi na majizi yanatumia nafasi waliyopewa kulipiza kisasi kwa kumchafua na...
  6. happyxxx

    Awa ndio malkia wa nguvu wa wakati wote

    1. Mama Samia 2. Anne Makinda 3. Rita Paulsen 4. Mama Mongela 5. Mwamvita Makamba
  7. happyxxx

    Masudi Kipanya akemewe kabla hajaleta machafuko kama Lars Vilks

    Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora...
  8. happyxxx

    Wanaoisema Sukuma Gang ni waoga

    Mbunge wa Sengerema Hamis Tabasamu akieleza mafanikio ya miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita amesema wanajivunia miradi ya kimkakati inayoendelezwa Mwanza na kusema walioibuka na kusema kuna Sukuma Gang ni waoga wanaotaka madaraka na kutengeneza hofu Ujumbe huu uwafikie wale vijana wa...
  9. happyxxx

    Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
  10. happyxxx

    Kwanini CHADEMA mkutano wa kumualika Rais wamefanyia Moshi ila maandamano waliyafanyia Mwanza?

    Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini? Kikao na Rais - Moshi Maandamano - Mwanza Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
  11. happyxxx

    Kwanini Masoud Kipanya hapewi PhD ya heshima? Napendekeza apewe Udaktari wa sayansi ya jamii. Hii katuni imebeba uhalisia wa jamii yote ya Watanzania

    Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku. Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
  12. happyxxx

    Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

    Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku. Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama. Bado...
  13. happyxxx

    Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
  14. happyxxx

    Kwanini ZINAA ni dhambi?

    Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa. Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya msingi kuikataza zinaa. Kama kitendo cha watu kukutana kimwili kingekuwa kibaya. Mbona watu walio...
  15. happyxxx

    Chadema kimekuwa chama cha kutetea majambazi, inasikitisha sana

    Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio. Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu salama ya kuishi. Kwa bahati mbaya chama cha chadema (zamani CHADEPA) wao wamesimama kutetea majambazi...
  16. happyxxx

    Tundu Lissu na CHADEMA endeleeni kulamba asali, msijifiche kwenye jina la Magufuli

    Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani. Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi...
  17. happyxxx

    Idara ya Ikulu Mawasiliano ni wazembe au wanafanya makusudi?

    Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana. Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii. Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli...
  18. happyxxx

    Je, ni wakati wa kuwatambua Mbowe na Lissu kama maadui wa taifa?

    Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa. Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi. Kelele zilikuwa nyingi baada ya...
  19. happyxxx

    Fatma Karume aendeleza spana kwa CHADEMA, awaambia "Hamnitishi na sikuogopeni"

    Huu ndio ujumbe wa Shangazi wa Taifa. Wataalam wa siasa za kimataifa wanaita hizi ni spana za kisoviet. Wakati unaendelea kutupatia ukweli. Shujaa hakuendekeza wanasiasa na wanaharakati njaa njaa sasa wanagombania kulamba sukari wao kwa wao.
  20. happyxxx

    Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu. Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je, nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
Back
Top Bottom