Search results

  1. Ester505

    Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  2. Ester505

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Maadamu unao uke,uke unahitaji CHAKULA chake ambacho NI uume ndugu.Kulea watoto NI sawa lakini njaa ikiuma ya uke unafanyaje?? Sasa kila ikifika saa Tisa ya usiku vua nguo zako uwe uchi Kama ulivyozaliwa Anza kumuomba Mungu,mwambie uliniumba Niwe na mwenzangu.Huu mwili una mahitaji take,hitaji...
  3. Ester505

    Rafiki yangu anahitaji mume

    Rafiki yangu anahitaji mume. SIFA ZA ANAYEMHITAJI; Awe mkristo Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea. Asiwe mlevi. Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri Asiwe na zaidi ya watoto 2. Mwenye uelewa. Awe mkarimu. Awe Mvumilivu Awe na Nia ya DHATI&UHITAJI WA MKE( KUFUNGA NDOA) SIFA ZA RAFIKI YANGU...
  4. Ester505

    Hivi inakuaje binadamu mwenzio anakuwinda maisha namna hii?

    Wewe mpumbavu Sana halafu huna akili. Yaani ukiambiwa tuma Pesa,Basi hapohapo unatuma TU Kama mawe. Hivi kwa Nini usiwapigie kwanza wahusika kuwauliza ili uhakikishe Kama ndo wao wamekutumia namba??? ACHA KUKURUPUKA.
  5. Ester505

    Kwa Matokeo haya, Anaweza akapata chuo zanzibar? Chuo gani?

    Akasomee ualimu wa chekechea ili akimaliza asidolole nyumbani
  6. Ester505

    Uovu wa shetani ni upi kwa mujibu wa maandiko?

    Hahahaha,nimecheka kwa sauti
  7. Ester505

    Uovu wa shetani ni upi kwa mujibu wa maandiko?

    Kasome mwenyewe uelewe vizuri Acha uvivu
  8. Ester505

    Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

    Tafuna tangawizi mwanzo wa kipindi mpaka mwisho. Halafu wabafunzi waangalie kuanzia kwenye paji la uso Hadi kwenye nywele. Maeneo mengine usiwaangalie. Kingine wakunjie sura. Tatu,wanaovaa uchi kwenye pindi lako wasisogee piga mkwara
  9. Ester505

    Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Ifakara bado saaana kuwa mkoa
  10. Ester505

    Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

    Kweli kabisa.kwanza wamama wa nyumbani NI waoga kuachwa halafu Adabu lazima awe nayo.
  11. Ester505

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Hata Mimi nawashangaaa. Jamani si wakamjadili Petro ambaye aliponya WATU kwa kutumia kivuli chake.
  12. Ester505

    Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

    Ukweli huu lakini chawa watakupinga
  13. Ester505

    Matajiri mara nyingi tunaamini masikini Ni wavivu lakini sio kweli

    Nakubaliana na wewe.Kama Mwamposa alishawahi kubana suruali na Pini maana ilikuwa haimtoshi.Mungu ndo stering wa yote
  14. Ester505

    Sindano ya testosterone

    Nguvu za kusimamisha dyudyu
  15. Ester505

    Wenye uzoefu wa maumivu ya mapenzi tusaidiane

    Achana Nae.Kazi ya moyo NI kusukuma damu. Funga siku 2,baada ya Hapo utakuwa sawa. Mwanamke hafai huyooo
  16. Ester505

    Kutekwa kwa Paul Manzi, raia wa Rwanda nchi Tanzania kunaichafua nchi kidiplomasia

    Amiri jeshi mkuu wa Tanzania anasemaje
Back
Top Bottom