Search results

  1. B

    Ndoto ilikuwa ni kuwa Professor ila kwasasa ni mkata mkaa

    Watoto wadogo ukiwauliza kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Utasikia vitu vingi sana ila ngoja akue sasa akutane na mwalim Dunia, wee utamkuta anachoma mkaa. Story ya watoto inafanana na ya ndugu zetu kolokopo. Kipindi msimu unaanza walikua wanabwabwaja balaa, kwasasa naona kimya...
  2. B

    Niliyoyaona Jana kwenye mechi ya Yanga

    Hii ni makala ambayo nitaelezea kidogo yaliyokuepo Jana. Baada ya shamrashamra za kujiandaa kupokea ubingwa ilibidi lipigwe kabumbu Moja matata sana,, kabumbu ambalo lilianza kwa furaha kedekede. Lakini kipindi mchezo unaendelea nyuso za wapenda soka walioipenda young African's zilikosa...
  3. B

    Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
  4. B

    Hongereni sana wakina mama wote kwa upendo mlionao kwa watoto wenu.

    Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama dakika 6 tu dogo akataka abebwe. Mama akawa mkali, mtoto akatumia akili nyingi akaita mama mamaake...
  5. B

    SoC04 Serikali ianzishe veta kwenye magereza nchini

    Kutokana na wimbi la uhalifu kuongezeka mitaani huku chanzo kikiwa ni ukosefu wa ajira pamoja na elimu stahiki nashauri serikali ianzishe veta kwenye magereza. Wakianzisha veta pale magereza wafungwa pamoja na mahabusu wote iwe ni lazima kusomea chochote, na kama kuna mtu ambaye ana elimu...
  6. B

    Miaka mitatu ya mateso ya Simba utadhani ni muongo mmoja umepita

    Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote. Baada ya miaka kadhaa nayeye akafulia, Sasa kwake ilikua ni hatari akawa anajiuliza kwamba hivi hata...
  7. B

    Si uungwana kuandika matusi kwenye vyoo vya umma

    Wadau poleni sana na mihangaiko ya Jumamosi. Kuna hili la kuandika matusi na maneno ya kejeli kwenye vyoo vya kulipia, unakuta ukutani pale pameandikwa matusi makubwa na maneno ya kejeli, kiukweli huu si uungwana kabisa. Swali langu ni kwamba wanaosimamia hawaonagi au wameridhika wateja wao...
  8. B

    Kwa hili la Muungano Hayati Karume alimzidi ujanja Hayati Mwalimu Nyerere

    Huu ni ukweli ambao hausemwi, mwalimu Nyerere alizidiwa akili na Karume wakati wa kuwekwa makubaliano juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Karume alimzidi parefu sana mwalimu, na nadhani hakutafakari kwa kina kabla ya kuweka makubaliano, unaua nchi yako ila ya mwenzako inabaki palepale...
  9. B

    Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya...
  10. B

    Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

    Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku. Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au? Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
  11. B

    Benchika kama hataki kuondoka kwa fedheha pale Simba aachie ngazi kabla ya tarehe 20

    Kiukweli kila nikiwaangalia viongozi wa Simba nyuso zao hazina Nuru tena, imebaki Bora liende tu na kwasasa mzigo mzito upo kwa kocha wao benchika, Siku ya mechi na singida black star ilibidi abaki uwanjani kwa dakika kadhaa, ukiulizwa kwamba alikua anawaza nini utakua na majibu mengi ambayo...
  12. B

    Kuleni mapema msije mkalala njaa

    Hope mko poa wadau wamichezo. Muda mfupi ujao moto unaenda kuwaka kwa mwananchi kumnyofoa mamelodi kucha. MUNGU ibariki Yanga tupate matokeo mema [emoji120][emoji120]. Ikifuatiwa na mtani dunduka sc ambao wapo kikaangoni kukaangana na waarabu pale Cairo 🥹🥹🥹. Nawakumbusha mle mapema kabla ya...
  13. B

    Kati ya kazi ngumu duniani ni pamoja na hii

    Hope mko poa wadau. 1 Kati ya kazi ngumu na mnyororo safi kabisa wa umaskini ni pamoja na kuwapaka rangi za kucha+kusuka wadada. Hasahasa ikifanywa na mwanaume. Hua nawaangaliaga nikipita vijiweni mwao aisee ni balaa unakuta pisi ya maana inapakwa rangi na jamaa mpaka unajiuliza hapati...
  14. B

    Hii hali huwa inanisumbua sana

    Ile unatembea sehemu alafu unakuta kilinge cha wanawake wamekaa wengiii, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa. Yesu na maria kama ni parefu mpaka upate Kona unaweza kuanguka kabisa. Mbaya zaidi iwe kuna mmoja wapo ambaye...
  15. B

    Uliwahi kuongea neno ukachekwa?

    Hii imenitokea Mimi leo asubuhi nilienda mgahawani kunywa chai Sasa pale kulikua na watu kadhaa,, kuna jamaa mmoja akawa anamsifia mdada fulani pale. Sasa kilichofanya nichekwe nilimwambia yule jamaa WEKA NDANI nikimaamisha amuoe yule dada. Aisee nilichekwa balaa, kuna dada akasema huogopi...
  16. B

    Da kwamimi binafsi sijafurahishwa na mchezo.

    Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo. Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30...
  17. B

    Daima mbele nyuma mwiko, huu msemo ubadilishwe mapema.

    Kwa dhati kabisa ninauomba uongozi wa yanga,, ukae chini ubadilishe hii slogan ya daima mbele nyuma mwiko. Slogan hiyo imekua ikitumika vibaya kututusi wanayanga kwamba tunatembea na mwiko,, kitu ambacho ni tofauti na maana iliyodhamiriwa. Saivi huku mtaani na mitandaoni tunapata shida sana...
  18. B

    Potelea mbali, acha Leo nimuunge mtani mkono

    Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu, Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo. Ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano ili zibaki team wanazozitaka wao. Sina upepo na waarabu kabisa kabisa tangu Morocco atukatae. Mtani...
  19. B

    Kapu la point tatu za Team kataa ndoa

    Kwa hali hii nioe kweli? Kuna uncle wangu juzi kanywa sumu kisa amemfumamia mke wake. Huyo mke wake ni kicheche wa hatari hata mm hapa factor nimekimbiza sana lile gari, Kipindi hicho jamaa alikua hamruhusu kutumia simu,, sasa siku hio aliiweka kwenye beg akawa amesahau kuizima,, ikawa inaita...
  20. B

    Kama imekutokea utachukua uamuzi gani?

    Habari za muda huu wakubwa!!. Hivi siku ikitokea umelala na mke wako asubuhi, halafu ukasikia mlango umegongwa mkeo akaenda kuangalia ni nani alafu anarudi kwa upole na mahaba anakuambia baby kuna mgeni wako. Unatoka na taulo lako kiunoni mkeo akiwa kwa nyuma, ile unatupa macho kwenye sofa...
Back
Top Bottom