Search results

  1. otimbiotimbi

    Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

    Je, gari lako la Toyota ni lipi unalolipenda zaidi?
  2. otimbiotimbi

    Magari ni kitu 1, hii ni nyingine

  3. otimbiotimbi

    Ukiambiwa kila EX wako akupe shilingi elfu kumi utakusanya jumla shilingi ngapi?

    Ukiambiwa kila EX wako akupe shilingi elfu kumi utakusanya jumla shilingi ngapi?
  4. otimbiotimbi

    Hakuna jina la kike linaloanzia na herufi "Q" kama lipo litaje

    Hakuna jina la kike linaloanzia na herufi "Q" kama lipo litaje[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. otimbiotimbi

    Bamia kwa kingereza?

    Bamia kwa kingereza zinaitwaje? Twende kazi[emoji123]
  6. otimbiotimbi

    Naomba neno Moja la kunipa nguvu

    Neno moja kwangu la kunipa nguvu. Mpenzi wangu kapata kazi Dar na mimi niko Kigoma. [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
  7. otimbiotimbi

    Twende kazi!!

    Huyo mtu ambaye upo naye kwenye mahusiano kwasasa akisema muachane utasemaje?
  8. otimbiotimbi

    Eti ??

    Wanaume msiokunywa bia na hampendi football kwani starehe yenu ni nini?
  9. otimbiotimbi

    Movie gani bado unatamani kuiangalia tena?

    Ni movie gani ulishawahi kuiangalia zaidi ya mara mbili na bado unatamani kuiangalia tena??!!
  10. otimbiotimbi

    Kujenga au kununua gari?

    Ukipata hela utajenga kwanza nyumba au utanunua kwanza gari kali?
  11. otimbiotimbi

    Naombeni jina zuri la kumsave Mchepuko

    Naombeni jina zuri la kumsave Mchepuko ili nisikamatwe [emoji2957][emoji2957]
  12. otimbiotimbi

    Pesa sabuni ya roho

    Jamani pesa ni sabuni ya roho. Basii bana mi napenda hela sanaaaa. In short napenda kuwa tajiri napenda nyumba nzuri iwe ghorofa nikiita mwanangu Piraaa where are u? Anijibu niko upstairs Dad. Napenda niwe na magari yangu hapo nikitaka kutoka na prado, benz, vogue na kadhalika. Basii bana we...
  13. otimbiotimbi

    Kuoa kwa kuzingatia taaluma

    Ukitaka kuoa kwa kuzingatia taaluma ya mtu ungependa kumuoa nani?
  14. otimbiotimbi

    Twende kazi

    Mwanaume anayetoa hela na mwanaume anayejali bora yupi?
  15. otimbiotimbi

    Zamani nilikuwa nashaangaa unafikaje 30 huna nyumba!

    Zamani nilikuwa nashangaa sana mtu anafikishaje miaka 30 hana nyumba wala gari?! Aisee naombeni mnisamehe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
  16. otimbiotimbi

    Wanawake nasubiri majibu yenu hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]

    Naombeni majibu wanawake tafadhali!
  17. otimbiotimbi

    Unaweza kumpigia magoti mpenzi wako kwa ajili ya kumuomba msamaha?

    Unaweza kumpigia magoti mpenzi wako kwa ajili ya kumuomba msamaha? Kila mtu aseme ukweli wake![emoji30][emoji30]
  18. otimbiotimbi

    Ni kero gani huwa hupendi kwenye daladala?

    Ni kero gani huwa hupendi kwenye daladala?
  19. otimbiotimbi

    Wewe ni mtoto wangapi?

    Wewe ni mtoto wangapi kwenu? 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10? Ukipata mwenzako mjulie hali....[emoji849][emoji849]
Back
Top Bottom