Ni kero gani huwa hupendi kwenye daladala?

otimbiotimbi

Senior Member
Dec 12, 2019
100
135
Ni kero gani huwa hupendi kwenye daladala?
FB_IMG_1661800626887.jpg
 
Wanaume wa Dar wanapitia mateso ya kila aina. Pole nyingi kwao kwa kweli.

Binafsi nisingeweza kabisa kusimama hiyo 0 distance na huyo binti. Haki ya nani ningebadili tu pozi haraka kwa manufaa ya pande zote mbili.
 
Napenda nikipanda daladala nisizungumzishwe! Yaani nisiwe na maongezi na mtu yeyote mpaka nafika.

Masuala ya kuanzisha story ukitegemea mi nitakusapoti nakuhakikishia utaongea mwenyewe.
Ww uko kama mimi hiwaga naona wanazngua mtu anaanzsha mada akitegemea utamsapoti mda mwngne watu tushavurugwa wanaleta habari za mipira au siasa mara diamond kafanya hivi
 
Kukaa na mwanamke hasa mdada au mmaza anayelika..

Maana lazima nitaondoka na namba na baada ya hapo nafsi itanisuta...

Hapa nina kama namba 50, isingekuwa ngoma sijui ingekuwaje.
 
Kuna wale ambao wakiwa kwenye daladala huongea kwa sauti either kwenye simu au wakiwa na wenzao, wale wananikera sana.
 
Kwa nini uhubiri kwenye daladala
kwa. Nini nikikupa siti unilipie nauli
 
Kukaa na mwanamke hasa mdada au mmaza anayelika..

Maana lazima nitaondoka na namba na baada ya hapo nafsi itanisuta...

Hapa nina kama namba 50, isingekuwa ngoma sijui ingekuwaje.
Ninazo nyingi haswa Hawa wadad wa buza wengi tu ninazo Seema wanapenda hell mno juz mmoja ananimba nikamnunulie nguo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom